HABARI ZENU WANAJAMVI.........
Bila shaka wengi wetu hasa wenye watoto mda huu ni wa kuumiza vichwa ni wapi tupeleke watoto wetu kwa ajili ya kuanza Kidato cha kwanza mwaka 2014. Nasikitika kwamba...
The name of this month is derived from septem, which is Latin for seven. It has long been regarded as a number of perfection, luck, and wonder. (Think: seven days of creation.)
If September means...
Ni muda sasa tokea Chuo hiki kianze ambacho kimekuwa kikimwagiwa sifa kipindi kikianza. Nilianza kusikia sifa hizo nyingi na kupata hamu ya kusoma katika chuo hiki lakini haikuwa bahati yangu na...
ndugu wanajamvi naulizia kama mtu anayechukua post graduate diploma ya education anaweza pata mkopo toka loan board.na je kama hawezi pata huko ni taasisi gani nyingine au mtu binafsi anayeweza...
Unaifahamu hyo shule? Ipo mkoa wa kigoma,wilaya mpya ya buhigwe kijiji kimoja cha bukuba.
Kama unataka kusomea kigoma karibu njoo uombe utapewa. Ni shule ya serikali. Kitaaluma siyo mbaya maana...
Salam wakuu,
Kwa muda wa miaka mingi enzi za zamani, ukitaja katika shule ambazo zilikua zinafanya vizuri kitaaluma na kimichezo, makongo nayo ilikuepo kwenye list. Nakumbuka enzi za headmaster...
Katika swala lisilo la kawaida, viongozi mafisadi wameamua kukaa chini na kuongeza fedha ya medical capitation kwa mwaka wapili, je swala hilo mnalionaje hakuna mabaraza ya wanafunzi...
..jaman ndugu zangu..me nlkuwa nahtaj msaada juu ya hl..me nmechagulia st marks dar ambayo n taw la st john..bt selection zmetoka lakin me cjaona jina langu kwny hayo majina yote yalitoka..na...
TANESCO walipoona wanaibiwa kwenye mita za umeme wakaja na LUKU (Lipia Umeme Kadili Unavyotumia) ndivyo na walimu walipolazimishwa (BRN) BIG RESULT NOW nao wamekuja na FUKU (Fundisha Kadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.