Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu kwa utafiti nilioufanya hapa tanzania wa vyuo vikuu hapa tanzania nimekuja na formula ambayo itatofautisha vyuo,vyuovikuu,na taasisi kwa kutumia formula ifuatayo , programme+programme=...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1.udsm 2.mzumbe 3.ifm 4.Tia 5.IAA 6.Udom 7.Cbe source:afisa mwajiri mkuu,bank ya CRDB.
0 Reactions
47 Replies
27K Views
Vijana wengi ambao wanatarajia kujiunga na elimu ya wanategemea mkopo ili kuweza kusoma, sasa wewe kijana unaesubiri mkopo umejiandaa vipi endapo utakosa?
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash! Hapo bado accomodation, si balaa hii...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
TCU bado haijatoe official statement kwahiyo msishangae ukakuta umepangiwa chuo kingine au coarse nyingine...nimetoa hii tahadhari sababu watu hamkawii kusema tCU wanadanganya uma....ok!kila la...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
WADAU MSAADA TAFADHALI Saturday, September 14, 2013 WADAU HESHIMA KWENU, NIMEONA HII SCHOLARSHIP HAPO CHINI LAKINI NILIPOFIKA HAPO KATIKA RED, NIMESHINDWA JINSI YA KUIPATA HIYO FOMU HATA HIYO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello,,,naomba msaada kwa hili,,nimepangiwa chuo na TCU/NACTE lakin jina langu halijawekwa katika website ya chuo ambacho nimechaguliwa ila marafiki zangu wote niliapply nao wao majina yao...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
hiv kwa wale wanaotaka kuhama chuo, ni kwamba ukikosa nafasi huko unakotaka kwenda maana yake unakuwa umepoteza nafasi yako ya awali?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana bodi habari zenu? tafadhari naombeni mwenye uelewe na mfumo wa NACTE au TCU anijuze yafuatayo. 1. Higher Diploma ni sifa ya kielimu sawa na Adv Diploma.? 2. Kama ni sawa au sio sawa je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana jf kumbe elimu ya tanzania kama tamthiliya ebu cheki 1/ongezeko la shule la kata=mitihani ya kuchagua ili wajae 2/uchache wa shule za advance=wanatibua tokeo la form 4 mpaka...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
wadau hivi BACHELOR OF EDUCATION MATHEMATICS ina dili gan hapa tz?kama nmechochora nchange faster,mawazo yenu please!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
katika joining instruction ya st.john nimekuta kitu hiki, "7. You must join a health insurance company which provides coverage throughout Tanzania and present evidence (membership card) of such...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ATTENTION! Get a book of COMMUNICATION SKILLS titled COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVELS written by E.B. MAHELO. - - Its material treats all levels of education such as O-level, A-level...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jf?naomba mnifahamishe juu ya tarehe ambayo heslb itaweka majina ya walio apply mkopo wazi.over!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mi cjui! kama ni utaratibu wa vyuo vyote nchini au baadhi.Unasifa ulipe kwanza kujiunga badae Bodi itakufinance.Je? haiwakoseshi nafasi masikini na kupoteza muda hata kukata tamaa.
0 Reactions
3 Replies
935 Views
pole na mishughuliko ndugu na jamaa,naomba niende moja moja kwenye hitaji. nimepata nafasi ya kusoma diploma ya horticulture chuo cha kilimo Tengeru Arusha,reporting date mwisho tarehe...
0 Reactions
7 Replies
950 Views
Salamu, tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu. Mie ni mwanafunzi nafanya utafiti kuhusu deni la taifa na kuongezeka kwa uchumi . tatizo ninalokutana nalo ni ukosefu wa data. ombi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona mtu ameandika mpuguso university hiki chuo kipo wapi hebu nisaidieni.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Poleni na harakati za hapa na pale katika kuelimishana na kuongezeana ujuzi katika suala zima la elimu! nimechaguliwa chuo na kozi tajwa hapo kwenye "tittle" nilihitaji tu kujua endapo naweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom