Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

yeyote mwenye uelewa naombeni msaada
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wenye taarifa nayo watujuze jamani 2lisha pigika xana
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hatimaye tumekamilisha kuweka majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika Chuo Kikuu Ardhi na sasa waweza download hapa. WALIOCHAGULIWA ARDHI UNIVERSITY 2013/14 TEMBELEA...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Chuo kikuu cha dar es salaam,chatoa ruhusa kwa anaetaka kuhama course aliyochaguliwa kutokana na kutokuipenda au kuridhka nayo,wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza wataruhusiwa kuhama kozi zao vigezo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
UDOM imetoa List of first year applicants-2013/2014 unaweza ingia link hii List of first year applicants 2013/2014-First batch - List of first year applicants-2013/2014 au download attachment
1 Reactions
117 Replies
18K Views
Shule ya bweni ya VITIRA sekondari ipo Malinyi/ULANGA MOROGORO inawatangazia nafasi za kujiunga kidato cha kwanza,pili,tatu na nne kwa mwaka 2014,shule ina walimu mujarabu,mazingira makini,chakula...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mana naona thread nyingi zisizo na maana watu wanatambia vyuo vyao nami nimeona nisiwe nyuma kutafuta wenzangu! Boom boom
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The number 40 shows up often in the Bible. Because 40 appears so often in contexts dealing with judgment or testing, many scholars understand it to be the number of “probation” or “trial.” This...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
wakuu naombeni msaada,kama kichwa cha habari kinavyojieleza..kuna jamaa angu kakosa chuo je anaeza kuapply tena?nimeingia kwny site ya tcu nimeona slot ya registration ipo on...je afanye nin huyu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1;Aliesoma mpaka elimu ya juu na kufeli vibaya katika masomo yake... au 2; alieishia elimu ya chini na kujifanya kasoma mpaka elimu ya juu kumbe sio kafoji vyeti, ama 3;alieruka vidato na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna dada yangu alienda kwenye of office za Nacte aliambiwa kwa yeyote ambaye aliapply kwenye hii3rd round selection,mnatakiwa kupitia kwenye account zenu yani CAS | DIPLOMA kwani wameshaanza...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Chuo kikuu kishiriki cha masomo ya ushirika na biashara Moshi (MUCCoBS) ambacho ni tawi la SUA kimeendelea kuthibitisha kuwa ndio chuo bora zaid katika masomo ya biashara. Katika matokeo ya...
0 Reactions
70 Replies
16K Views
Nina majonzi makubwa sana kwa kupata taarifa za msiba wa baba yangu wa kazi, mzee wangu aliyenipokea kazini ktk halmashauri ya korogwe, mzee wangu alinipa misingi ya uwajibikaji kazini. Mzee wangu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf.mm nina dogo langu ambaye amehitimu darasa la saba jana ila anadai mtihani ulikuwa kawaida.je kweli?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba mnijuze wale wanaosoma bsc in agricultural economics and agribness ajira yake ni wapi hasa. Na ni vitu gan nije navyo wakati wa kulipoti ukiacha ada na michango je kuna haja ya kuja na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
***KUSOMA NI BURE*** Kuna MAJAMBAZI walivamia BENKI KUU sasa Jambazi akawaambia watu waliokua mule ndani "Wote laleni chini atakaeinuka namsambaza ubongo, Pesa ni za serikali ila roho za...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=4&ved=0CEQQFjAD&url=http%3A%2F%2Fshareranks.com%2F2772%2C20-Highest-Paying-Jobs-in-the-World&ei=_kczUomYB6eF4AT9uYCACw&usg=AFQjCNHeDT0...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom