Habari zenu wasomi.
ningependa kujua umuhimu wa orientation weeks zinazofanyika vyuo vikuu kabla ya kuanza masomo kwa ujumla na je mtu asipohudhuria atakuwa amekosa vitu gani vya muhimu...
Ebana bachelor ya fani zilizotajwa hapo juu ni ipi bora zaidi kwenye upande wa mshiko, ajira na kujiajiri? na ni ipi rahisi zaidi kupata ajira?
nifahamisheni ndugu zangu nisije kusota na vyeti...
kuna taarifa za ukaguzi wa kushtukiza uliofanywa na Naibu waziri wa Elimu Mulugo, kwa baadhi ya vituo vya mitihani ya darasa la 7!
Waziri kakagua hadi chooni.
Hii inadhibitisha ni jinsi gani...
me nimechaguliwa udsm nimepangiwa Bachelor of arts in economics lakini nilikua nataka kubadilisha nisome Bachelor of commerce in accountancy sasa nilikua naombeni ushauri wenu wakuu ipi ni course...
Habar zenu wanajamvi, k ukwel leo nmeamua kufunguka hakuna k2 knachonkera kama utawala wa udom, watu tunaenda kufungua chuo hatujui hata matokeo we2 yamekaa vp zaid zaid 2napandishiana 2 michango...
Baraza la mitihani hivi sasa linatangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2013. Matokeo hayo yatapatikana muda mfupi ujao kwenye tovuti yetu.
Asilimia 93 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6...
Vijana tupunguze kutafuta ridhiki kwa njia zisizo nzuri. Ndio, maisha ni magumu sana. Na ni kweli asiyefanya kazi na asile. Na tena..kujishughulisha ni jambo jema sana. Na mkaa bure si kama...
kuna tatizo ambalo lilijotekeza mwaka jana na mwaka huu pia! Tcu walionesha tution fee ni 1million..lakn fee str ya chuo ilikua 1.3 million....so kuweni makini hili tatzo nimeliona tena mwaka huu...
Ufafanuzi wa course na misuli yake
1.education-leo unatoka club kesho una paper alafu no kusapua
2-doctor of medicine-hawa mpaka neurone zinaungua
3-engenearing-msuli kijiji yani all eyes on...
Ivi punde mepokea taarifa kwa wadau kuwa wamesha riliz matokeo, lakin cha ajabu matokeo ya 2nd semester yamekuja na koz tano badala ya nane na GPA wamesha weka, sasa nafanyaje wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.