Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

INGIENIE KWENYE WEBSITE YA NACTE THEN MKONO WA KUSHOTO KUNA LINK YA SELECTED APPLICANTS INGIZA MAIL YAKO UTAPATA MAJIBU.....:A S-rap:
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hiz hapa anayetaka kuzidownload
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf. Kama kuna mdau hapa amepata nafasi ya kusoma masters chuo cha Mzumbe Morogoro naomba aniPM. Muhimu sana jamani,nna shida kubwa!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu? samahani, naomba msaada kwa yeyote anaeweza kupakua majina ya waliochaguliwa ardhi, wengine tupo vijijini na simu zetu hazina uwezo wa pdf. ASANTE
0 Reactions
8 Replies
1K Views
-GE LM6000PC gas turbine connected to the generator via reduction gear box ( 3600/3600) rpm. -Recently we are facing a vibration issue in the gearbox. -The online vibration values shows a varying...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Joining instraction ya st Joseph university Arusha campus nitaipataje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye information kuusu hilo tafadhari tusaidiane
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari wajamii? Samahani naomba msaada kwa anayejua chuo cha hapa Tanzania kinachotoa kozi za MOnitoring and Evaluation au Project management hata kwa njia ya net naomba link ya chuo cha uhakika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
leo mount meru university ratiba ya tarehe za kuripoti chuoni kwa students wapya na wanaoendelea! chaajabu na chakushangaza... hebu ingiaa humu MMU_PLUS_SITE - Page 6 SIJAWAI ONA
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nilikua nahitaji msaada kidogo kwenye kujaza admission form ya T I A hasa kipengele cha post secondary education ambako lazma nijaze na mm ni fresh from form 6 kipengele hiko hakinihusu lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana UDSM mnisaidie hv INDUSTRIAL ENGINEERING iko poa ? Na ajira zake vp? Msaada wenu wakubwa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama umechaguliwa hapo 2013/14 na unatoka musoma,mtwara au mwanza naomba tuwacliane kwa ajili ya kutafuta chumba dalali nimeshampata,nitafute kupitia 0762364740 au 0789443404
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima waungwana! Tafadhari nlikuwa naitaji kufahamu gharama za master degrees course(MBA) inayotolewa na open university of TAnzania, muda wa course na competence ya course yenyewe kama mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear BUMU Kokote ulpo jua I mic u. Ckujua umhimu wako mpaka hii leo. Kwel uktaka jua umuhmu wa makalio kalia kchwa. Ww ulnipa kburi mjni, hta km miez mi3 ulnitembelea mara 1 lakin hakika...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Naomba kujua kama itawezekana mwanafunzi wa diploma in Human resource kama ataweza kuchaguliwa na TCU akijaza accounting ??
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bara la Afrika ni mahali ambapo matatizo ya kila sekta yanapatikana duniani. Elimu, afya, nishati, n.k zimegubikwa na matatizo lukuki, sio Tanzania, Kenya (EAC) au Ghana, Liberia (ECOWAS)...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu. Naomba kufahamishwa juu ya vyuo vya Serikali na binafsi vinavyofundisha Diploma ya Nursing vilivyopo katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam na Pwani. Nimepitia website ya Wizara...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wakubwa? Mimi nimechaguliwa chuo kikuu cha SUA faculty ya BSc. Agricultural Economics and Agribusiness, kama waswahili hupenda kusema ndege mwoga huishi miaka mingi na ndege mjanja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jaman tangazo la mchanganuo wa gharama za chuo limetoka lakini binafsi sijajua swala la joining instruction tunazipataje?mwenye kujua utaratibu ulivyo naomba kujuzwa tafadhari.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom