Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza. Ilikuwa kama picha ya kihindi. Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yeyote aliyechaguliwa hapa ani PM.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
jamani ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wliochaguliwa kujiunga na mount meru university lakini kinachonipa mawazo nikwamba hadi leo sijaiyona tarehe ya usajili wala tarehe yakuanza masomo , hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Please naomba mnijulishe ni kituo kipi kizuri kwa kusomea ili kuweza kufanya mitihani ya QT..
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Bachelar of art with education and bachelar of education in geography and history, msaada tafadhar mwenye uwelewa na swala hili
0 Reactions
0 Replies
872 Views
nimesahau password yangu ya jamii forum. Nisaidie ili nweze kujua.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau hawa nacte wana mpango gani.....vyuo nlivochagua vimetoa selection mie cpo...kimebaki kimoja tu ambacho ni N.I.T ambayo nlifanya chaguo namba moja na mbili...nikikosa apo ndo baaaas ntabeba...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
karibuni first year at duce.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu
1 Reactions
87 Replies
17K Views
Wana JF, Nimesikia kuwa waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 na kushuka hawapati mkopo na je ukifanya mtihani wa kidato cha sita kama PRIVATE CANDIDATES, mkopo unapata?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kuju kama chuo ninacho soma kimesajiliwa wakuu chuo chenyewe n karatu health training institute. Coz hatuwaelew till now
0 Reactions
2 Replies
766 Views
hivi kuna utofauti gani wa postgraduate, advanced diploma na masters?
0 Reactions
46 Replies
17K Views
ningependa kujua mtu anayesomea bachelor of science in social protection, huwa anahusika na mambo gani zaidi
0 Reactions
1 Replies
970 Views
habari zenu wadau...nimechaguliwa NIT koz ya logistix n transport mngnt..nipo arusha,nackia kupata hostel chuoni ni ngum xana ukizngatia tumexhaguliwa wengi..so mwny uwezo wa kunisaidia khs...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jaman naomba msaada kwa yeyote anayeijua...? Coz nimeshatishwa apa mmmh mpaka nataka kuhama course
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Naibu waziri wa Elimu bwana Mulugo amesema kuwa serikali ya Tanzania Bara ina mpango wa kuanzisha utaratibu wa kuwa na Mtihani wa Taifa kwa wanafunz wa darasa la 2, Amesema lengo la kuja na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Tunayo pongezi kubwa kwa vijana wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu Ardhi kwa mwaka wa masomo 2013/14. Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na UDSM. 1. Majina ya waliochaguliwa yapo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nyama choma,gambe kama 2livyo,kwenda club,kuonga watoto wazur,shoping za mliman city,rob 1 uxsahau wale wa kununua utamu BAADA YA KUFULIA wali wa mia 8,maji ya ku stream na c kudownload, kimboka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom