Its a unique university providing programmes like archtecture building economics which no university in Tanzania provides most welcome you will enjoy the conducive studying environment you will...
Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES mkopo upo vip?
Cross-posting from The BBC.co.uk A link between the size of a father's testicles and how active he is in bringing up his children has been suggested by scientists.
Researchers at Emory...
ndugu wadau naomba tusaidiane katika suala hili,maana siku moja nilipata kutembelea shule furani ENGLISH MEADIUM ambayo ipo rujewa kukuta watoto walio kuwa wakiuza chapati,ubuyu n.k,kunyang'anywa...
habari zenu wakuu..!!! poleni kwa majukumu ya hapa na pale!!
bila kwenda mbali, mimi ni mmoja kati ya wale wasomi kutoka shule za saint kayumba, yes saint kayumba. najua mwajua sababu ya shule...
What'up wanajamvi pande za wanazuoni! Straight to point ningependa mnijuze taasisi gani inawajibu wa kusajiri vyuo vidogo vidogo ambavyo vinatoa elimu kwa ngazi ya cheti mfano ya computer...
Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES( FORM 6) mkopo upo vip?
AMRI KUMI ZA CHUO.
1.Hicho ndicho chuo chako
usiwe na chuo kingine ila
hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo
chako mana utawaumiza
wengine.
3.Ikumbuke cku
uliyochaguliwa na
kuiheshimu...
Habari GT
katika pitapita zangu humu educational forum,kuna topic fulani ya 2011 inayohusu ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu..kuna post nzuri ambayo GT mmoja aliileta ili kusaidia...
Tafadhali naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kufanya maombi TCU kama nikienda makao makuu? Maana nimefanya maombi HESLB lakini nilishindwa kufanya maombi ya TCU kutokana na kuchelewa na vocha...
Wanajamvi,ikiwa sikufanya application ya TCU naweza kuomba direct kwenye vyuo? Majanga yaliniandama nikashindwa ku-apply kwa nafasi zote mbili zilizo tolewa lakini HESLB nimeomba. Naweza kusaidika...
Wakati wanalalamika makato ni makubwa sana,Serikali kwa ushirikiano na Cwt wameamua kuanzisha Bodi ya kitaalam ya Waalimu na ni ya Kisheria.Inaitwa Tanzania Teachers Professional Board Act 2013...
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.