Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limekutana mwishoni mwa wiki iliyopita kwa kikao cha siku mbili kujadili taarifa za kiutendaji za taasisi hiyo kwa...
Wanajamii hapa kuna swala linatatiza kidogo.Kuna bwana mdogo amechaguliwa Course ya Enviromental Planning and Management IRDP na alikuwa anabackground nzuri kwenye GIS (kwa miaka minne) na ana...
Wama JF, naomben mnisaidie kwa sababu hapa nilipo tumbo joto sielewi kama nitapata mkopo aula na kila kitu nilishatimiza na lin wanatoa majina ya waliopata mkopo. msaada wenu
Habar wana jf
nina mdogo wangu anasoma chuo 1 hapa dsm na sasa yupo mwaka wa pili mwezi wa 10 anaingia mwaka wa 3 yaan wa mwisho tatizo linakuja amepata kazi nzuri tu ya kudumu mkoa tanga kwa...
Jamani kwa yoyote anayeijua hii kozi vizuri naomba ailezee vizur na application zake ktk maisha maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo na ana utata wa kuijua vizur hiyo kozi maana inatolewa na...
Hii nimeipenda na nimeamua kuileta hapa kwenu wana DUCE wenzangu. Pia mnaweza kuitafuta page yenyewe kuona mengi zaidi
DUCE YETU
Habari zenu WANADUCE,
Kwanza tunawapongeza
wote kwa...
AMRI KUMI ZA CHUO.
1.Hicho ndicho chuo chako usiwe
na chuo kingine ila hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo chako
mana utawaumiza wengine.
3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na
kuiheshimu...
Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) n kwamba admission letters na joining instructions zmeshaanza kutolewa chuon hapo tokea jana....kwa maelezo zaidi tembelea...
Salaam wakuu wangu,
Naomba kuuliza hiki kitu. Je kwa gpa ya lower second (Let's say 2.9) kuna uwezekano wa kwenda direct kufanya Masters bila kupitia post-graduate? Na je, vyuo gani hapa TZ...
Huu ndo mchanganuo wa course na sifa zake
1.civil enginearing-hawa hawajawah kuchinja tokea wazaliwe
2.law_wapenda sifa
3.banking and finance_wanapenda kutafuta sifa wakati mshaara wa mbuzi...
et membar wezangu naomba mnisaidie naskia et kuna join instruction form zimetoka et ni kwel na pia naomben mnisaidie jins ya kupata admission latter m2 anafanyaje
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi ninaomba ufafanuzi kuhusu hili jambo.Ni mtoto wangu ambaye anasoma shule ya binafsi darasa la saba katika English medium ambaye anatarajia kumaliza elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.