Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kuna tetesi kuwa wanaosubiri 3rd selection kunakukosa eti jamani ukweli?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kufundisha nimfundishe mie, mtihani nimpe mie, misifa apate yeye!!! Utoro afanye yeye sifuri apate yeye, lawama nipewe mie!!! Mibangi avute yeye, nidhamu akose yeye BIG RESULT NOW nifanye mie...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Binafsi wamenichagua Bsc.education(mathematics and geography)
0 Reactions
66 Replies
6K Views
leo nimetembelea web ya st john nikakuta taarifa hizo. Tatizo chuo hiki kila kitu kiko kwenye pdf files, ivyo sikuweza kusoma yaliyomo maana device yangu haisupport pdf files. Habari ndo hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya wizara afya
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WANAFUNZI wa Darasa la Saba wanatarajiwa kuanza mtihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi kuanzia Jumatano ya wiki hii. Mitihani hiyo inatarajiwa kufanyika kwa muda siku mbili ambapo humalizika...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
kwa walimu wa sekondar mkoa wa morogoro au pwani anayetaka kuja shinyanga mjini tuwasiliane kwa 0719177540 au 0762489789
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mnero Wilayani Nachingwea mkoani Lindi, Andrew Chiunguile, amejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa kupigwa kwa mawe na magongo na wanafunzi, ambao walimtuhumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam wana JF, Nimekuja hapa ili nipate ushauri ama nielekezwe taratibu za nini ninapaswa kufanya kutokana na tatizo la kitaaluma lililonipata. Nilikuwa mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Mtakatifu...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
samahan wana jf kwamfano mwaka wa kwanza akibahatka kupata mkopo toka bodi ya mikopo kwa asilimia mia ni gharama zp atahtajka kuzilipa anaporipot chuo?na ile pesa ya matibabu kwa wale wenye bima...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kumekuwa na mkanganyiko ni lini wanafunzi wanaoendelea na masomo wanafungua shule. Mwanzo ilikuwa 29/09/2013. Sasa wanasema ni tarehe 12 October 2013. Website yao inaonesha hiyo tarehe 12/10/2010...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Hii ndio serikali ya Tz Kumbuka hawa ndio walee walio fanyiwa updates kwenye matokeo yao... Hawa waliochaguliwa kwa mara ya pili, pia wenye divison 4 wamo tena ndio weng.. kigezo nikua na...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato wa kutoa mikopo hiyo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Tunayo pongezi kubwa kwa vijana wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu Ardhi kwa mwaka wa masomo 2013/14. Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na UDSM. Nianze kwa kukufahamisha jinsi ya...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
jamani nime download joining instruction ya mzumbe but haionyeshi michango kama ada,registration fee na michango mingine ko mwenye info anisaidie ndugu!
0 Reactions
1 Replies
842 Views
,,,,
0 Reactions
7 Replies
980 Views
msaada wana jf naomba mnijuze kwa anayefaham deadline ya admission katika chuo hiki.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada na maelezo yenu juu ya makadilio ya kiwango cha fedha ninachostahili kufika nacho ili niweze kusajiliwa. Pia upatikanaji wa hostel utaratibu wake unakuaje. Naombeni msaada wenu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kiukweli jamani ninaumia sana na huu mfumo wa elimu yetu maana umekuwa ukiendeshwa kiutashi wa wanasiasa, embu angalia kipindi Mungai alipokuwa waziri alifuta biashara na kuunganisha Physics with...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom