Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help:
Congratulation from IFM.
You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored...
Wanafunzi wa Elimu ya juu sasa wanauwanja mpana wa kutoa na kuhabarishana taarifa mbalimbali zinazotokea ndani na nje ya chuo ambazo zinahusu maisha mazima ya elimu ya juu nchini.
tzcampusvibe |...
Nchini Tanzania inaaminika kuwa kuna wasomi wachache,kwa tatizo ili la wasomi wachache basi hao waliopo wangekuwa wanatumika kwa fujo sana katika maeneo mbalimbali yanayoitaji taaluma.
Sasa cha...
Kuna taarifa kwamba imekuwa tabia kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani kusoma tuition kitu ambacho ni nadra sana kukiona chuo kikuu. Nasikia mmoja wa walimu anaitwa Touwa, ati anafundisha account...
Nimeingia ktk Tovuti yao, nimeshindwa kuona tarehe ya kuripoti wanafunzi wa MD mwaka wa kwanza. Hata sehemu ya ku-download Joining instruction sijaiona ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu...
Online learning center provides new features and services to discover new learning opportunities, better manage your career, request external training or connect your employees with the learning...
Niko Tarime, ni mwl sekondari. napenda kuhamia wilaya ya NYAMAGANA au ILEMELA. kama uko tayari kuhamia TARIME, basi gharama zote za kushughulikia mchakato nitalipia mimi.
heb wanajamii tuelimike basi.. ww unaupdate mada iliyopita ili iweje.. hebu uwe na akili.. msituletee mambo ya kitoto.. nendeni huko facebook... alaah...!
Its official from IFM: CHANGE OF OPENING DATE:Classes are now to start on 14th October 2013 and not 21st October 2013 as stated earlier. Registration starts on 16th September. Orientation week is...
Matokeo ya kidato cha nne yamevuruga future za walio wengi kwani wengi walitegemea kupata alama nzuri zitakazowawezesha kuendelea advance, swali langu ni juu ya watahiniwa waliopata kwanzia div...
Kwa wale ambao wanataka kutuma maombi ya kujiunga na elimu ya juu,leo ndo mwisho kusabumiti form zao,ambao watakuwa 3rd round selection,Pia ambao wanauwezo wa kuchange course au programe maana...
Ndugu zangu wote waliopata mkopo na wale waliokosa kwanza kabisa nipende kwa pamoja sote tumshukuru Mwenyezi Mungu kwani ana mipango na sisi wanadamu aijalishi umepata mkopo au la...
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.