Mimi ni Junior User wa jF bt Napenda jua bodi ya mkopo itachukua hatua gani kwa hao waliokosa mkopo na majina hayapo au ndyo wamelamba Joker jamani?? pIA lIST YA WANAOTAKIWA KUFANYA MAREKEBISHO...
Habari zenu wana jf
mimi nimechaguliwa jordan university college (Baed) morogoro
ada ni kama ifuatavyo
Academic fees 1,000,000
exams fees 200,000
Admistrative fess 350,000
Accomodation fess...
Msaada unahitajika wa jinsi ya kumwokoa huyu mwl wa taaluma mwenye tabia ya kuwataka kimapenzi wanafunzi wa kike ktk sekondari hii. Nikiwa mwl wa nidhamu nilimwita faragha na kumwonya kwa...
Habari zenu wanajamvi!!!!
Nawalenga wenzangu mliopata nafasi kusomea course tofauti na chaguo la kwanza. Najua wengi wapo disappointed na hili kwa sababu ya malengo walojiwekea kwa muda mrefu...
Kuna baadhi ya vyuo wanaanza orientation jumatatu ikiwa ni pamoja na kufanya registration,sasa ikiwa hawajui muamala wao mnataka wajipange vipi na chuo?
kwaya ya mtakatifu flomena mabibo hosteli chuo kikuu cha udsm inawakaribisha wanafunzi wote wanaopenda kujiunga na kwaya hii. njooni tumwabudu mungu kwa kuimba .pia tunawaalika sana...
CHANGE OF DATES FOR REPORTING, REGISTRATION AND ORIENTATION OF NEW
STUDENTS FOR 2013/2014
ACADEMIC YEAR, THE NEW DATES ARE AS FOLLOWS;
REPORTING: 16th OCTOBER 2013.
REGISTRATION AND...
Haya kama uliapply kupitia NACTE na profile yako ilikuwa bado inaonesha kwamba selection is in progress tembelea website ya nacte kisha check upande wa kushoto utaona sehemu imeandikwa applicants...
Dah.. jaman kama tunavyoelewa sheria na kanuni za taratibu za elimu ya Tz.. km mtu hautakuwa na crd pass tatu o level.. hautaweza kweda kidato cha tano la sivyo labda urudie masomo. Sasa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.