Hi,naomba msaada wa kimaandishi,,,kama kuna mtu anafahamu cbe dsm wanaanza lin usaili wa wanafunzi wapya wa degree na pia fomu za kujiunga zinapatikana wapi?na mpango mzima wa hostel uko...
Salamu zikufikie ewe waziri wa elimu na jopo lako.
Kilio changu kwako ni michango ya kila wiki ktk shule ya msingi 'MINAZI MIREFU na AIR WING,sijui kama ndio mishahara tunalipa sisi wazazi au...
Wakuu mimi binafsi sihitaji kuishi hostel za chuo wala za watu binafsi bali nahitaji kuishi nje kidogo ya eneo la chuo hivyo kama kuna mtu anaweza kunipa support ya kunitafutia chumba maeneo ya...
Jamani naomba msaada kama inawezekana kubadili cours ukiwa chuoni. Mimi nimechaguliwa Bed psychology udsm. Ila ningependelea kuwa Ba Ed. Nipeni procedure jamani..
Kuna kipindi tigo walileta 500MB kwa wiki kwa 500 lkn wakaiondoa fasta offer hii ilikuwa kwa wanachuo tu
Leo hii natoa guarantee kwa wanafunzi wote kudownload Video tutorials,na Vitabu pamoja na...
Japo sio mahali pake lkn naomba msaada wa kuweza kupata/fungua Page hii ya Jf kwa mtindo wa desktop view kwenye cm yangu
Before ilikuwa inafungua lkn suddenly ika change
Ni Android google phone
Nimechaguliwa
bacherol of education in guidance and councelng pale udom nataka
nikabadili koz nichukue education in admstrtn and manegement uwezekano
huo upo? Ur help plz
Kama unahtaji Mwl wa ENGLISH COURSE na Tuition kwako kwa mfanyakazi wako ndugu na kwa watoto wako nyumbani au kazini kwako inawezekana kabisa kama unaish Dar/karibu na Dar tuwasiliane kwa...
Joining instruction zimetoka kwa first year, kuripot tarehe 12 na 13 October, Orientation 14/10/2013, Good luck guys
Tembelea website yao for more details, see you there in October
Wakuu!
Anatafutwa mwalimu wa kufundisha mafunzo ya ziada kwa mwanafunzi wa Darasa la Sita (Mtaala wa Tanzania, taught in English). Kwa aliye tayari, au anayemfahamu mtu ani-PM hapa.
Masomo ya...
ivi tatizo ni wanafunzi,walimu au serikali yetu..mona haya mambo yanasikitisha sana..wakati huo waeshimiwa wanaongeza greds za kufaulu akati..hata iyo moja haipatikani..
Wanafunzi wa UDOM wanakosa raha kutokana na kutopata matokeo ya mitihani yao waliofanya mwezi wa Jun, Wanafunzi wanatakiwa kufanya supplementary kuanzia tarehe 15 October lkn bado hawajapata...