Tafadhali kwa anayejua tarehe ya kuripoti chuoni hapo, MIST, anijuze. Kwa sababu nimecheki kwenye NACTE nimeona jina langu nimepangiwa Mbeya Institute of Science and Technology. Kwenye website ya...
nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda advance moja ya shule za serikali mkoani mbeya,bahati mbaya kapangiwa combination ya hgl wakati yeye alisoma masomo ya sayansi tumefuatilia jinsi ya...
jamani wana jf wenzangu naomba mnijuze zaidi eti mwaka huu tcu wamechukua hata wale wasio na credit pass yaani (C3) za o~level hasa waliosoma nje ya nchi na kupewa udahili wa kozi mbalimbali hapa...
habar wakuu,kwa wale mliochaguliawa kuja kwenye chuo hiki nawakaribisha sana.chuo kipo Ilala-buguruni malapa.hakuna hostel kwa wanafunzi wa coz zote isipokuwa wale wanaochukua theology.kwa msaada...
mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa chuo hicho lakini mpaka sasa sijafahamu ni siku gani hasa tunatakiwa kuripoti chuoni maana nikiangalia katika website yao sijaona taarifa rasmi ya...
Ndugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary...