matokeo ya wanafunzi wa kozi ya AEA matokeo naambiwa yapo notice board MAIN CAMPUS kama inakuhusu fanya mawasiliano na wenzako usipate presha bure. siunajua SUA!
baada ya TCU kutoa selection ya jumla sasa,2napenda kuipongeza kwa kazi nzur na nzito waliyofanya,hivyo wacwac na presha imebaki HESLB tuu ! hivyo hongeren xana vijana !!!
Natumaini wote mpo salama,
Ni nani wa kumfunga paka kengere?
Na akitokea jasiri mmoja kati yetu kutaka kumfunga huyo paka kengere,je! ni mbinu gani atatumia?
Utendaji wa Wizara ya Elimu umekuwa...
Kwanza kabisa ninafurahia kujumuika nanyi katika Forum hii natumai tutapashana habari zaidi za kielimu, ningependa kujua T.I.A Dar na Tumaini Dar wanaochukua degree mwaka wa kwanza wanafungua lini?
Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.
wale wote waliokuwa wameomba tcu kujiunga na stella maris majina yametema kwa taarifa zaidi tembelea web ya chuo utayakuta,ni kweli wadau sitanii cm yangu haina uwezo wa kuaplod so angalia...
Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte...
WANAFUNZI VYUO VIKUU MMEWEKWA REHANI.
1.0. UTANGULIZI
Mfumo mzima wa elimu hapa Tanzania bado ni changamoto kubwa sana ya
kufikia malengo ya kitaaaluma na maendeleo ya kujitegemea kielimu.
Mfumo...
vyuo vingi vikubwa na vidogo vishatoa selection zao lakini chuo hiki ambacho ni kichanga sana bado hakijatoa! What's wrong with this university? Mwenye info zozote hatufahamishe.
Wakuu mi nimechaguliwa hio hapo course pale muccobs. naomba kujuzwa kuhusu uwanja wake wa ajira(kujiajiri au kuajiriwa) na inadeal na vitu gani hasa. Nilicheza kamari kene maisha niliiweka ya tano...