Jaman kuna list kubwa sana TCU,imetolewa kwa wanafunzi waliomba kupitia tcu,waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja,,kama jina lako limo,inabidi uandikie barua tcu ya kuwajulisha chuo unachotaka...
jkt ndo hivyo imetangaza awamu nne kama ulivyoona jana TBC na LUKUVI ambapo itachukua had february na baadhi ya vyuo vimetoa orientation week inaanza octoba kama UDOM na kuna baadhi ya majina...
Kama unajiandaa kufanya mtihani wa kidato cha Nne au QT kwa mafanikio, nitafute haraka kupitia 0783373662. Fanya hivyo basi haraka siku zimekaribia kwisha.
Source waziri wa ulinzi bungeni leo asubuhi
nanukuu
awamu ya pili watamaliza mafunzo yao september(tarehe haikutajwa)
awamu ya tatu wataenda octomber(tarehe haikutajwa)
na awamu ya nne itakuwa...
Kuna baadhi ya wakuu wa shule huko ndo kina Afisa elimu,Waziri wa Elimu n.k. Hivyo huwanyanyasa walimu kiasi kwamba wanaishi kwa shida. Je unadhani "big results now" itawezekana na ile hali...
Napenda kuchukua fursa hii mimi kama mimi kuwapongeza wale wote walioweza kuchaguliwa kujiunga na Vyuo vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu.
Na pia natoa pongezi, kwa wale wote...
Wana jf nadhan mnamfahamu vizuri sana huyo niliyemtaja hapo juu soon tu atakuja kunyamazisha mbwembwe zenu hizo za kusema chuo cha kata,tarafa,wilaya, mkoa,
jimbo n.k
atakapowachinjia baharini...
Hi JF, kumekuwa na uzushi mwingi kuhusu admissions za wanafunz wa mwaka wa kwanza vyuoni, wengine wanasema mwez wa kumi wengine mwezi wa pili wengine January.. sasa which is witch??? Serikali...
Habari wana jamvi! Poleni kwa mahangaiko ya kusubiri Post za TCU kwa mwezi mzima sasa bila mafanikio ila kwa sasa umefika climax ya usubirifu huo kwani ni siku tano takatifu kuanzia leo ndo...