Wakuu muda huu kupitia TBC kuna uzinduzi wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa-BIG RESULTS NOW BRN KWA SEKTA YA ELIMU.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania amesema kupitia hela zitakazo patikana...
Wadau naomba kukuliza nina mwanangu wa kiume anamaliza form four mwaka huu TUSIIME nakuna kichwa ni shule gani nzuri ya kumpeleka kwa ajili ya A-Level naomba mwenye ufahamu anijuze. ahsateni
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata
msaada plz....!!!!:help:
ivi awa jkt wana akili kweli na awo tcu mbona awasemi chuo lini maana 2mechoka sasa kila cku chini ya kapet 2, jaman 2julshen kama jesh kwanza au ni chuo:disapointed::disapointed:
kwenye jukwaa la siasa kuna uzi unaosomeka: "Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now". Katika uzi huo, maswali ya mitihani ya Darasa la saba iliyofanyika Julai katika utaratibu wa BRN...
Mambo zenu! Wanajamvi...Naomba mnijuze: hivi utajuaje kama umechaguliwa chuo fulani? kama ni kwa njia ya email; vp email yangu imefungwa au nimesahau password? NAOMBA MNIJUZE MNITOE WASIWASI!
Mimi PCM Ifunda nilipata dv3 15 points enzi hizo nilikosa post,math E,physD,chem S,tulipata mwalimu wa physics term ya pili,sasa hivi nimeomba na vijana tunaonekana sisi hawatuwezi,wao ndio...
Salam kwenu wakuu,
Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree)...
Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}
Mathematical STATISTICS shows that the PROBABILITY of Salary increment for Teachers has brought SIMULTANEOUS EQUATIONS of many UNKNOWNS despite the INFINITY number of Promises from the...
status zakuulizia selection za chuo ukizihesabu hata 50 zinafika kwasiku nahuo mwendo kila siku hivi kwanin usipitie status inayoendana na unachotaka kujua then ukaunganisha unachotaka kujua kama...
Jamani mimi nataka tushirikiane kwa hili.
Ni kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kutumia siasa katika mambo yanayohitaji zaidi sayansi na ufahamu wa kitaalamu????????
ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.
Utafiti niliofanya dhidi ya vijana wanaohimu shahada mbalimbali hapa Tanzania,uelewa wao katika mazingira ya kazi au arithi[real life situation],ni mdogo sana.unatakujua zaidi,endelea kunifuatilia.
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata
msaada plz....!!!!