Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Chuo cha Elimu ya biashara (CBE)kinatarajia kuanzisha kozi za shahada ya Pili(Masters)hususani fani za biashara MBA na shahada ya uzamivu (PhD) kuanzia mwakani 2014.kiukweli habari hii ni njema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imefahamika kuwa, pamoja na kusajiliwa na TCU, kozi ya BCom inayotolewa na UDOM haitambuliwi na bodi za wataalamu (Professional Bodies kama NBAA, NBMM etc). Hilo bado halijathibitishwa kwa kozi...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Poleni na majukumu ya kila cku wanajf mimi kwa majina naitwa husen ngilangwa nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na kwa bahat mbaya sikufanikiwa kujiunga na kidato cha tano kwasababu nlipata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF wengi wetu kutokana na kutokua na info,au kwa chuki tumekua tukipotosha kuwa waajiri hawataki graduates from UDOM. To prove u guys wrong mwaka jana makampuni makubwa kama...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Nilianza kazi mwaka2008 katika halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo katika shule ya sekondari Matipwili Km100kutoka Dar.Nikatumika ipatayo miaka4.Ukatokea utaratibu kwamba anaetaka kusoma ni kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamaa yangu yupo jeshi leo kanipigia simu nichek profile yake wamemchagulia chuo cha open unversity (bachelor of education with science) na nimeambiwa hicho chuo ni special kwa watu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali kwa wale ambao wamewahi kuhangaika kutafuta scholarship za masters, mm nimepata admission ktk fani mafuta na gesi online na gharama yake ni dollar 10000. tafadhari sana yoyote ambaye...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
wanajukwaa, awamu ya kwanza na ya pili ya wanafunzi walioenda JKT wamechukuliwa wale wenye div 1,2 na 3 sayansi ukiachilia mbali wale wa awamu ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ndo Tanzania nchi inayoongozwa bila kuwa na mtaala wa elimu? sipati picha wizara hii inapangaje mipango yake kielimu bila muongozo, inatisha!
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Ila uwe unatokea morogoro tanga na pwani call 0714829862
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Nikikumbuka enzi ya chuo Pale NAH,Daaa enzi ile hakuna ku Carry,lecturer anataka kula kichwa nawe unakomaa mpaka anakuachia,copy to mbao zote za matangazo. Hapo una sup,QMS,ACC AU UNGOZEA NA WEWE.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni miaka mingi imepita tangu walipokianzisha miaka ile ya 90 sielewi lengo lao.Je ile ni saccos ya walimu au kinatetea haki za walimu?Walimu wetu wana hali mbaya kwani wengi hawapewi mishahara...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna rummours kuwa vyuo na taasisi za elimu ya juu huenda vikafunguliwa mwezi wa kwanza 2014. Anayejua anijuze
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Hv kuna hiyo certificate course ilikuwa inatangazwa inategemea kuanza mwaka huu wa masomo but ni kwa wanawake, hivi kuna mwanaJF aliye na uelewa kdg wa mafanikio yake. Au ni mambo ya kupoteza muda...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
kuna utata kwamba mwaka mpya wa masomo wa elimu ya juu utaanza mwakani mwezi wa pili kwa sababu kuna wanafunzi wanaohitajika kwenda jeshini kwa awamu ya tatu , je ni kweli!? na pia nimesikia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wana jf naombeni mnijuze kama inawezekana mwalimu wa diploma masomo ya chemistry na geography kuomba degree ya pharmacy na atatumia matokeo au cheti gani pindi aombapo?ufafanuzi plz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna mwalimu yoyote wa sekondar (Sayansi) aliyepangiwa kazi mbeya na angependa kubadilishana na mtu kwenda tabora tuwasiliane.....
0 Reactions
0 Replies
999 Views
wAKUU NAULIZA MTOTO WANGU ANATAKA KUSOMA ICT RELATED DEGREE AND HAPA BONGO KUNA VYUO VINGI SANA VINATOA DEGREE HIYO. NAPENDA KUPATA USHAURI YA WAPI NIMPELEKE KAMA PRIVATE STUDENT? ANGEPENDA SANA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu wa Sekondari nahitaji kuhamia Manyara manispaa kutoka Kigoma manispaa,kama kuna mwenye uhitaji na vigezo ani PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom