Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

asalam aleykum! Bwana yesu asifiwe! Wanajamvi naombeni mawazoyenu kutokana na uelewawenu dhidi ya hizo kozi hapo juu [laboratory technology na agriculture science] je ni ipi nikisoma ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tanzanians should such education indefinitely
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf,naombeni msaada,nina digrii ya elimu maalum,sasa nataka nikachukue masters ya kati ya social work na human resources,hapa tz vyuo gani vinatoa kozi hizi? na ipi ni nzuri?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusoma diploma ya animal health chuo cha mpwapwa sasa joining sijapata mpaka sasa na chuo kuanzia tarehe moja tunaripoti,anayefahamu ada na mahitaji apaswayo kuwa nayo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwaka jana walichagua wanafunzi wa diploma mwez wa kumi mwishoni na mwaka huu ndo hivyo hvy wadau?!?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomben msaada sehem ambayo naweza kusoma diploma ktk fani ya IT, natafuta chuo ambacho kinatoa chakula na marazi na bei iwe ya kawaida thankx
0 Reactions
6 Replies
2K Views
dear GTs,mwenye kujua vyuo vnavyotoa CERTIFICATE (specificaly education certificate) na ambavyo bado vinapokea maombi ya kujiunga plz naomba nijuze
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Phillipo Mulugo Mgomo wa wanafunzi wa Sekondari ya Ilboru, iliyopo wilayani Arumeru, kutoingia madarasani uliingia siku ya pili jana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Tcu imekuwa too much in connection failed hivi ni kwa nini? Kama tatizo ni watumiaji wengi ni kwa nini wasiongeze wigo wa teknokojia ili tupate huduma bora kwa wakati wote! au wana malengo gani na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifanya mawasiliano na baadhi ya wahitimu wenzangu walioko JKT na kwa taarifa walizonipa zimenifanya niamini 100% kuwa hakuna Awamu ya tatu ya kwenda JKT kwa kidato cha Sita kwa Mwaka...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Bodi ya mikopo wametoa idadi ya waombaji wapya wa mikopo elfu 54 wakati waliomba tcu kulingana takwimu zao hawafikii elfu 45 je ongezeko hilo limetoka wapi. Isije ikawa ni janja ya kuwanyima...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi nipo rombo mkuu -kilimanjaro kwa aliye tayali tuwasiliane kwa namba 0714829862.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ndio Tz bwana utakatwa kodi hata kama hujataka na wajanja ndo watafaidi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
worst professor ever - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza tarehe za special na supplimentary chuo cha saut mwanza ni lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lini special na supp.saut mwanza.
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Profile yangu pale kwenye selection status zinaonesha kuwa zimekuwa PROCESED hebu chekini zenu wakuu.
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Pitia website ya mifugo na uvuvi,www.mifugouvuvi.go.tz utayakuta ni ya mwaka huu 2013/14
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Nimepita web ya mifugo nimeona tangazo ndio nadownload
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niliomba vyuo mbalimbali kusoma diploma ya education. Nimepata vyuo viwil mount meru university(dip in educ) na institute of adult education (dip in adult and continuing educ) ipi nzuri zaid?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom