Hivi jamani hii serikali tuiambieje hadi isikie? Mkoa wa Iringa ndio unaoongoza kwa kuzalisha mbao na nguzo za umeme hapa nchini, lakini bila aibu ndiyo mkoa ambao watoto wa shule wanakalia...
ndugu zangu wana jf... nawakaribisha sana katika webite yangu MWL CHAVA COMPUTER CLASS kwa wale wanaotaka kujua mambo mbalimbali yahusuyo computer na wale wapenizi wa simulizi mbalibali bofya...
Wana JF mimi ni muhitimu wa kidato cha nne.mwaka huu nilituma maombi wizarani ya ualimu ngazi ya cheti kwa bahati nzuri nimechaguliwa chuo cha ualimu Tabora. Sasa tatizo ni kwamba joining...
Wakuu nisaidieni nina mdogo wangu hayupo kwenye orodha ya ambao wanatakiwa kuapply kwa mara ya pili na nikicheck profile yake iko hivi SELECTION IS ON PROGRESS, you will be notified when it is...
Kituo cha walimu Buhigwe kimefungua wavuti(blogspot) ambayo lengo lake ni kuwakutanisha walimu na wanafunzi wote mkoani kigoma. Wavuti hiyo ambayo ni www.buhigwetrc.blogspot.com itatoanafasi kwa...
Makerere Universitys has leaped from the ninth to the fourth highest ranked institution of higher learning in Africa.
Makerere stormed into the top-five tier of universities in Africa after...
Ni kitendo cha kusikitisha kila siku serikali inasema haina madaktari
hawa Clinical Officers walikuwa wanafanya practice kwenye Hospital mbalimbali
lakini wasema wapply tena for the second round...
HELLO GUYS..... kwenye selection ya vyuo kwa diploma sehem ilipo andikwa capacity na applied so far ina maanish anini coz sielewi kabisa..........niwekeni huru plz
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana. Picha na Venance Nestory
KWA UFUPI
Jambo ambalo hakulitaja pengine kwa...
Habarini Wadau,mm Ni Mwalimu Wa S/m Ambaye,nna Ufaulu Wa Divisheni Three Ya Point 24,kwa kidato cha nne, Napenda Sana Kuwa Mwandshi Wa Habar,so Naomba Msaada Wa Kufahamishwa, Chuo Cha Uandishi Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.