Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kijana wangu ame reseat form IV 2011 kwenye private center kama private candidate, bahati mbaya amepoteZa namba yake ya mtihani hivyo tumeshindwa kupata matokeo yake, tufanyeje kupata hayo matokeo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kitaaluma mimi ni mhasibu, ninakipaji cha utunzi wa liwaya na uandishi wa vitabu. Ninauwezo mkubwa wa kuandika vitabu vya kumsaidia mtu kufikiri kwa mantiki na kumfanya ajitambue, ninaomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba mnijuze kwa kina kuhusu chuo cha sekomu
0 Reactions
0 Replies
979 Views
msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunz wa IFM BBF naingia mwaka wa 2 october ni member wa TIOB toka April mwaka huu kakin najishauri kufanya mitihan ya TIOB akat naendelea na masomo yangu hapa IFM, wana JF naomben...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imeamua kuongeza ufaulu kwa wanafunzi ktk shule za serikali kwa kuanzisha program ya big result now,nadhani ni idea nzuri lakini imekaa kimagumashi kwa sababu walimu watakao fanya kazi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu kwa anayejua ni lini wizara itatoa majina hayo kwani watu tunahamu kujua matokeo mapema ili kama tumepata tujiandaye au kama tumekosa tubadili mipango mapema kabla muda haujaenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajanv 2toane waswas juu ya hili maana wizara wametia mkazo kua ambaye ataripoti baada ya hizo tarehe hatapokelewa na mimi naona wengi wanategemea kuweka mambo sawa mwisho wa mwez huu na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
igwee wana jukwaa,naomba kufaham kama umepata a 3,b 3 na c moja ya ktk dip ya ualimu ni sawa na daraja gani au dvs ipi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila nikipata muda huwa natazama hiki kipindi kinachorushwa katika EATV na host wake akiwa ni Allan Laki. Sina shaka na upeo wa huyu kijana maana maswali yake ya papo kwa hapo kwa wanafunzi...
12 Reactions
242 Replies
24K Views
Habarini za siku wanajamii fr?naomba msaada kwa yeyote ambaye anamwalimu yeyote anayemfahamu anayefundisha katika shule ya lindi secondary anipatie namba zake na kihororo sec school iliyoko bukoba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhari wana jamii forum.com naomba msaada nataka kujua kama jina lang lipo katka wale wasiyo pata vyuo, jina nitumialo ni hilohilo la mwisho ni signature yangu iyo hapo chin yaan (asukile)...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimefanya aplication tena kwenye simu ikakubali na wakati jina langu HALIPO kwa wanaotakiwa kurudia 2nd round ila kwenye computer buton ya apication haipo active,,,nisaidieni wakuu hapo inakuaje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania Commission for UniversitiesNotice to Applicants who have not been selected during the first round of application due to various reasons. 1. Overview TCU informs all applicants (Form six...
0 Reactions
1 Replies
44K Views
Kwa upande wangu naona wanafunzi wote waliofanya application TCU waiachie muda wa kupanga vyuo na sio kukaa na kulalamikia TCU tangu jana jioni watu walikua wanalalamika profile zao zinaonesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani nahitaji kujua kama BA in marketng&public relations kama ni complicated course au tight kiasiflani,math baba mkwe kwangu ni hayo tu wakuu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hlw...wana Jf kwa wale walio omba course ya BA ECONOMICS UDSM naombeni kujua idadi ya walio omba hiyo course na capacity ya chuo...please
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna facult inaitwa logistic and transport management.je ajira zake zipoje?kwa anayejua anijuze
0 Reactions
3 Replies
936 Views
kwa wale ndugu zangu ambao bado hamjaenda jkt msife moyo kwa maneno mnayoyasikia mtaani yanayowakatisha tamaa jkt ni chombo kizuri sana mana utajifunza mambo mengi. Kinachotakiwa ni kufungua moyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu hiv hostel za udom n tsh ngap kwa mwaka? Thnx
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Back
Top Bottom