Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajamvi, Naomba msaada na maarifa. Nimepata shule UK na scholarship tayari. Shida, wanadai lazima nifaulu mtihani wa IELTS kwa level ya 6.7 Nilifanya TOEFL lakini sikufaulu kihivyo. Msaada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaribu nawe pia labda ni one of them try it right now!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa,poleni kwa majukumu,naomba kama kuna mwenye muongozo wa kufungua au kuendesha hizi english medium school tafadhali anipatie.natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hebu angalieni profile zenu,me yangu imerudi kama ilivokuwa zamani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi! Kwa mwenye ujuzi naomba anijuze mchanganuo wa fedha ya mkopo kwa mwanafunzi wa chuo. Je, inahusisha na fedha ya kujikimu? NATANGULIZA SHUKRANI!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
msaada lakini wana jf ?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Inawezeka wengi walishajiuliza kwanini, kunamwandiko wa kiume na wakike! Jinsia katika mwandiko inatoka wapi? Kwanini mwandiko wa kike unatofautiana na wa kiume? katika utafiti ulifanywa na...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Toshiba satellite J60 Specifications: Hard disc 40GB RAM 2GB Speed 1.8 Battery inachukua saa moja, CD ROM Sababu ya akuuza : Siitumii sana koz ninayo nyingine ,so kama upo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar zenu wanajf naomba msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu kipo mkoa gani na wilaya gani?
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Jamani program zangu zote 5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system bado?!...msaada tafadhari.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tunaokwenda Miono tufahamiane wapendwa katika bwana.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Naleta kwenu hii maneno tupate kushirukishana vituko hivi, Chuo cha Mipango na maendeleo vijijini mpaka wakati huu bado wanatoa matokeo ya mitihani kwa kubandika kwenye mbao za...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwa wale malengo ya kutafuta scholarship nchi za wenzetu, nawatumia hiyo link itawasaidia sana: Scholarships For Tanzanians | 2013-2014 International Scholarships for Development Nawatakia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mi nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta majanga kwamba sijaaply chochote sa...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Tangazo la JKT MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tcu
http://Cashite.com/index.php?referral=1016
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Jamani kwa wanafunzi, tulioomba maombi ya kujiunga chuo, mbona leo tunaandikiwa SORRY YOU HAVE NOT DONE APPLICATION, sasa ndo nini hiki? Wakati tushafanya? Hebu nisaidieni wadau.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye in4 kuhusu jesh awamu ya 2 kwa wanfunz waliomaliza kidato cha 6 2013
0 Reactions
4 Replies
748 Views
hi
mwenye taarifa kuhusu tcu,pllllz i nid help!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom