Jamani hili suala la jkt mi bado nipo gizani,hivi ni kweli bila kupitia jkt huwezi kupata chuo,na wanaokwenda jkt ni watu wa aina gani? Na wanakwenda
kwa vigezo gani?
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele...
Licha ya kufanya watu wawe wazalendo na taifa lao lakini hili la kugegedwa madada limekua sugu ,hii inasaidia wao kutosota sana kulingana na wengine.Hivi kuna haja ya kuwa na sheria yoyote...
Nimekaa nikafikiria sana kwamba hawa jamaa waliopona kwenye second reapplication washapata vyuo tayari ila tu ndo wasubiri kujua wamechaguliwa wapi......Lakini pia hata hawa jamaa zetu waliotakiwa...
jaman hali ni mbaya wakuu nisaidieni hiili mimi nilimaliza form six mwaka jana niliomba mkopo nikapata kidogo mno yaani hela ya kula na field tu! sasa nilikuwa nataka kuaapeal mwaka huu kwa sa...
hili gazeti leo lina kicchwa cha habari kisemacho WALIMU WAFELI MTIHANI VIBAYA,
hii heading ni ya kijinga na udhalilishaji, Ilipaswa waandike Wanafunzi wa Ualimu wafeli Mtihani,
maana mwalimu...
Habari zenu wakuu,
I hope you are all well.
Nahitaji kufanya a masters in construction and engineering management. Naombeni mchanguo na fursa zilizopo in ths field.
Thanks in Advance.
Barikiwa...
Ningependa kupata mfadhili wa kwenda kusoma, course ya animal health hapo tengeru , mpwapwa, morogoro kwani kwa sasa najishughulisha na miradi midogo midogo ya mifugo isiyoweza kukidhi kulipia...
Jamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round...
Habar wakuu hivi hili swala la second round la tcu ni kwa form six applicants tu au hata wale walio apply kama diploma holder inawahusu naomba kueleweshwa.
Habar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel...
SOMA TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA CWT NA SERIKALI JUU YA MISHAHARA NA HAKI MBALIMBALI KWA WALIMU
MSUMARI MKALI: HILI NDO TAMKO LA WALIMU WA MKOA WA MBEYA JUU YA KUPANDA KWA MISHAHARA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.