Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mimi ni mdada, nilifanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2007 kama private candidates, baadae nikapata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu kwa kutumia cheti changu cha matokeo yaani result slip...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mi ni mwalimu,DIPLOMA HOLDER. Nafundisha halmashauri ya wilaya ya singda. natafuta mwalimu wa kubadilishana naye tokawilaya ya magu,au maeneo ya karibu na hapo ili niwe karibu na wazee wangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waheshimiwa,naomba msaada kwa yeyote anayejua chuo cha ualimu TANDALA na mandhari zake.Chonde chonde jamani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jipatie laptop aina ya Compaq yenye specifications zifuatazo Harddisc 80GB RAM 2GB SPEED 1.8 Laptop ni nzuri sana na utaipenda ukiiona mwenyewe kila kitu safi isipokua battery inachukua dak 15...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale waliofanya application za vyuo.na majina yametolewa na tcu kwa ambao hawajachaguliwa wengine majina yetu hayapo lakini tukiangalia selection status zetu kwenye profile zetu tunaambiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
waliomba wizara ya elimu matokeo yako hewan leo chekin wakuu by tin boy.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Nimefanya 2nd round kimakosa sababu nliona inanambia you hav not yet done application
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naskia ni kutokana na ratiba ngumu ya masomo, kuna ukweli juu ya habari hizi au ni kwa sababu zingine. nimezipata leo kutoka kwa rafiki yangu anaesoma mwaka wa pili hapo muhimbili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hii ni taarifa rasmi ya jeshi la kujenga taifa . kutokana na ufinyu wa muda na uchache wa kambi hakutakuwa na wanafunzi wengine watakao kwenda jkt kwa mwaka huu , hvyo utaratibu wa vyuo utaendelea...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Masomo ni biology na geography,..uzoefu .,,,..miaka 6,,,shule iwe maeneo ya dar....ni mwl mwenye shahada
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Hivi hii bacherol of education with ict ndo unakuwa mwalimu tu au unaweza kufanya kazi zingine zinazohusiana na ict
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tatizo la serikali ya tz ipo mfukoni mwa watu tumesikia walimu wa grade na diploma mwaka huu wa 2013 matokeo yao si mazuri nawapa pole ndugu zangu tatizo ni sera mbovu ya serikali ya ccm ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mwanafunzi wa shule ya secondary kaulizwa"zikiwa zinacheza simba na yanga na siku hiyo ukapita barabarani na ukakuta taa ya njano inawaka itakua inamaanisha SIMBA ipite au YANGA ndo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NACTE has released a list of diploma holders who were not selected to join various course as per their selection during the application trough CAS.The list is available in their website...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna daraja la kwanza kwa vyuo vyote Watalazimika kurudia mtihani kufikia viwango Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa Wakati serikali ikisuasua kutoa ripoti ya...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
habar zenu Wanajamvi... Nmepitia TCU Website thru my phone nmekuta majina ya waliokosa first selection yametoka. Kwa bahat mbaya mwenzenu na wengineo cm zetu hazina uwezo wa kufungua PDF na tuko...
0 Reactions
33 Replies
33K Views
jamani samahan naomba aliedownload majina yalorudi tcu aniatachie niyasome kiurahisi au aniangalizi MANDELA JOSEPH na ABIUD CHRIFORD thanks
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Hivi suala la jkt linaenda vp mana me sielewi elewi o chuo ndo mwakani?
0 Reactions
0 Replies
726 Views
wakuu ni msaada tu kwa anayefahamu tarehe....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najiuliza sana kwanini wale wanaofundisha vyuo vikuu ukiondoa kozi za education, Mfano 1.Law 2.Enjinia 3.Utawala 5.Biashara 6.Compyuta Nk Wengi wao awajasoma njia za ufundishaji sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom