Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jkt
Mafunzo ya jkt awamu ya tatu haipo, ni kwel wadau??
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Habarini za wakati huu? Ndugu zangu tokea jana nikijaribu kuongeza muda kwenye simu yangu ya Airtel naambiwa SERVICE TIME OUT. Hii inawezakuwa na maana ganai wajemeni au simu yangu ndo kwisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Executive Secretary, I am a prospective student of Higher Learning Institution who has been vigilant to your regular announcements. My first concern is the frequent harassment brought by...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa JF.Miye ni mmojawapo katika list ambayo imetolewa na TCU ili nirudie kuappy chuo, Hii ni baada ya vyuo nilivyoappy mara ya kwanza aidha nilikosa vigezo au kuwa na watu wengi...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU...
4 Reactions
104 Replies
12K Views
Wakuu mwenye taarifa na majina ya waliochaguliwa kuanza dip. katika kozi za eng. DIT kwa direct entry atusaidie..na kama hawajatoa watatoa lini 7bu nina dogo hapa anayasubri kwa hamu na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Jaman wapendwa vp tcu wanaendelea kutoa huduma ya kuomba vyuo kwa awamu nyingne?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kunatetesi kwamba mwisho wa kuomba mkopo ilikua ni tarehe 31-7 jamani naomba ukweli juu ya hili kwani nahitaji kuomba mkopo!.
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Naamin mko poa xna wakuu,kwa wale tuliochaguliwa chuo cha ualimu ILONGA tufahamiane hapa wenzangu nami nimeamua kuanzisha hi thread kwa wale wa ilonga tutambuane,ushaur,numba za cm,maoni so...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Participants in Indonesia Mengajar, a programme funded by private corporations and run by prominent university educator Anies Baswedan, are given army survival training before being deployed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Trustees of the Greendale Foundation offer MBA scholarship for Southern and East Africans (from disadvantaged backgrounds) who have undergone the major part of their education in Southern or...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunz wa IFM naingia mwaka wa 2 octaber nachukua BBF ni member wa TIOB toka April mwaka huu lakin najishauri sana kufanya mitihan yao akat nikiwa na naendelea na masomo yang hapa IFM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdogo wangu (binamu) anasema bro. mimi nilitaka kusoma Telecommunication Eng., Kwa mimi nijuavyo course hiyo tayari ishakua kama computer science au it ,yaani wote wana fursa sawa kwenye ajira.Je...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni hayo hapokwenye attachment!!!!
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Hivi my fellow grt thinkers mambo ya ba in economics yanalipa kibongo bongo,tuvunguke kuhusu hili wanangu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Elimu Tanzania(SET) c/o Dar es salaam Institute of Mining Studies(DIMS) 1.Je, wewe ni kijana uliyemaliza Form IV/VI kuanzia mwaka 2005 na ungependa kuajiriwa ktk migodi mikubwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
naamini mko poa xna wakuu,mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu cha Ilonga morogor na mwisho wa kuripoti chuon hapo ni tar 28 agost lakin nilituma maombi wizara ya afya ktk diproma ya clinical...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NACTE has released a list of diploma holders who were not selected to join various course as per their selection during the application trough CAS.The list is available in their website...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom