Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jamani msaada kuhuxu profile za TCU
0 Reactions
9 Replies
1K Views
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Naomba kwa anaejua ayi majna yanatoka lini?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam zenu wakuu.................ningependa kujuzwa sehem wanayotoa mafunzo kuhusiana na ufundi huo wa magari,nafaham kwamba unahitajika uwe na idea ya autoelectric ili uweze ku-deal na kifaa...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Habari mwana jukwaa la elimu?Mimi kwasasa nafundisha mkoa wa Pwani wilaya ya mkuranga na ningependa kuhamia mkoa wa pwani wilaya ya kibaha au Dar Es Salaam. Kwa ambaye yuko tayari ani PM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Selection za OUT znatoka lin?
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wana JF Idd Mubarak Nataka kuuliza hivi mtu anaesoma combination ya CBG anaweza kufanya course gani university ...? Na ni shule gani bora kwa sasa hivi ambayo ina CBG Kindly advice
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Jamani nauliza mwenye kujua tarehe ya supp na special za chuo cha mtakatifu augustine zinaanza tarehe ngapi, maana matokeo tayari yyametoka nataka kujua kwa yule mwenye ufahamu.:help:
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangazo la JKT MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Heti jamani chuo cha International medical and technological university(IMTU) kina koz ya BACHELOR OF PHAMACY?
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, kwa wale vijana wa kidato cha 4; Kupata matokeo, tembelea links hizi: JF Hosted Results - Fom 4 Revised NECTA Hosted Results -Form 4 Revised
3 Reactions
172 Replies
73K Views
mimi ni mwalimu wa shahada natafuta mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur ya urambo tabora. VIGEZO. 1. Awe mwalimu wa Sekondari 2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE. Kwa anayehitaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
leo nilikuwa napita kwenye mtandao mara nimekutana na hii organization higher leaning students support fund(HLSSF) kuwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kama unahitaji website yao ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie jinsi gani naweza kuangalia profile yangu kwa kutumia simu,mnisaidie jinsi ya kufanya!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanasema ngojangoja yaumiza matumbo. Jamani ni nani aliye na tetesi au habari za uhakika ni lini TCU watatoa majina ya wanafunzi wataojiunga na vyuo vikuu? Hakuna kazi ngumu kama kusubiri. Japo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari...
4 Reactions
96 Replies
15K Views
Nina mdogo wangu anamatokeo haya kwa o'level, F ya history, C ya kiswahili na Chemistry na mengine yote ana D. Lakini amesoma certificate ya education yaani sasa ni mwalimu kwa sasa na hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni, Sisi wenye diploma za vyuo chini ya nacte majibu yalichelewa ndio kwanza tumeweza kuapply TCU sasa. Je tutawezaje kuapply loan board wakati Link ya OLAS IMEFUNGWA? naomba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Vyuo vya tanzania ni full majanga,ukabila si ukabila,uonevu si uonevu.Mijitu inapewa maksi na gpa kubwa kwa kigezo cha ukabila matokeo yake ni wahadhiri bomu na mwisho wake elimu ya kishenzi.mtoto...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
SAUT supp na special exams zinaanza tarehe 9th September 2013, huku UD zikiaanza tarehe 16th September 2013. Source: UD almanac and SAUT almanac. Haya jitutumueni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom