Utendaji wa nacte na mfumo wa utoaji elimu nchini ni wa kizamani sana. The London School of Journalism-LSJ inatoa degree na diploma zinazotambuliwa kote duniani iwe kwa distance learning au mifumo...
Hi! wanajamvii,
Natumai wote ni wazima. Naomba kwa mtu yeyote mwenye kufahamu anisaidie kunifahamisha kuhusu jinsi ya kusoma master programme online, nahitaji kujua taarifa zifuatazo:
1. Vyuo...
HOTUBA, NA vitu nyeti vya ikulu vianakuja hapa jf, je
ka waraka, yaani kakakaratasi tu kanakoelezea mishahara
kangefichwa hadi sasa? Hakuna waraka wowote, kama sio basi wanakutana
wapange,
Habari ndugu wa Jf. naomba kufahamishwa vyuo vya diploma vinabyofahamika kwa ubora wake navyoweza kuomba kusoma diploma ya IT au Comp sayansi kwa sasa. nimeomba CBE nimekosa na muda hivi sasa ...
Habari za saa hizi wajameni!! Naomba kujuzwa shule zinazofundisha masomo ya biashara zilizoko tanga mjini, Advance na o-level! Nitashkuru sana!! 0654215499
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale...
I am posting this for those who are taking Advanced Maths programs or interested to learn A-level Maths at home, or in one way or the other they don't have enough time to attend classes.
We can...
Naomba kujuzwa kama kuna member yeyote anayefahamu agencies au kampuni zinazoelekeza namna mtu anvyoweza kwenda kusoma abroad (Masters level), kuanzia namna ya kupata admissions mpaka...
Wadau kwa anaye fahamu ofisi mpya za HESLB anijuze maana nimesoma kwenye web yao wamesema ziko mwenge barabara ya sam nujoma bila kuspecify ni karibu na wapi au jengo gani...
Msaada tafadhali kwa...
Mi nina cut off point 9 na nimeapply vyou kama Muhas kcmc bugando kairuki kwa ajili ya medicine lakini nikijaribu kuangalia eligibilty naambiwa No bugando wakati wao wanahitaji points 7 tu kama...
Kwenye guide book 2013/14 baadhi ya faculty pale kwenye POSSIBLE LOAN AMOUNT wameweka desh(-) au unakuta wameweka sifuri(0) lakini kule mbele wamekuandikia PRIORITY hii inamaana gani? Kuna...
hili ni kosa nililoliona wakati namfundisha mdogo wangu hesabu kitabu cha book two mathematics. published by Nyambali Nyangwine. Kuna mdau alisema vitabu hivi vifutwe alikuwa sahihi sana. Sasa kwa...
''Bila stadi hizi za kazi kujengwa katika uzalendo watu wetu hawataweza kuwa na manufaa kwa taifa. Ni lazima uzalendo huu uwepo ili watu wetu wajue ni nini wanajenga na kwa faida ya nani. Kwahiyo...
Shule hii kongwe iliyoko mkoani Kilimanjaro sasa imechukua mwelekeo ya kifisadi.
Wanaendesha harambe ya kukusanya pesa kwa ajili ya ujenzi wa uzio ambapo kila mwanafunzi anatakiwa kuchangia...
ndugu wana jamii , ningependa kupata msaada katika swala hili linalontatiza kuhusu GPA hasa hii ambayo ni moja wapo ya kigezo kwa kupata chuo na pengine mkopo, tcu wanataka GPA ya 2.7 kama kigezo...
''Bila stadi hizi za kazi kujengwa katika uzalendo watu wetu hawataweza kuwa na manufaa kwa taifa. Ni lazima uzalendo huu uwepo ili watu wetu wajue ni nini wanajenga na kwa faida ya nani...