Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

naombeni ushauri wenu Nina credit nne za civic, history, geography, na kiswahili... je ni kozi gani nikisoma itaendana na hayo masomo coz nimeshindwa kwenda form v
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya leo wadau. Jamani mi nauliza ni vyuo gani hapa TZ vinatoa Certificate ya Records Managent
0 Reactions
10 Replies
21K Views
bodi ya mikopo yaongeza muda wa kuomba mkopo kwa wanafunzi waliopo chuo na wanaoomba mikopo kwa mara ya kwanza.mwisho utakuwa tar 31 july 2013.chanzo bodi ya mikopo.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wana Jf na ndugu yangu amameliza form six, HGE..amepata H=D G=D E=D na Gs=F...anataka kusoma agro-business SUA, anaomba ushauri..je hii course ina lipa katika soko la ajira! je ataweza kupata...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
1 Reactions
0 Replies
759 Views
wakuu naomba munisaidie kama m2 anajua maombi ya vyuo vya kilimo deadline yake mwisho lini na facat gan nzur kusomea na ada shilingi ngapi na vigezo katka ufauru ukoje?? Thanks!!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
katika fomu yangu nliyotuma cheti cha kuzaliwa na cheti cha matokeo ya kidato cha nne,, havikupigwa muhuri,, naombeni msaada kwa anayejua nifanye nini ili nitume form mpya kutokana na kwamba mwezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi ni kweli kwamba tarehe ya mwisho kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu tanzania imesogezwa toka 30/06/2013 hadi 31/07/2013 ?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Endapo umemaliza diploma in education unatakiwa uwe na gpa ngap il uweze kujiunga na degree? Na je unaweza pata mkopo kama ni sayansi?
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Nina mdogo wangu aliishia form 4 wakampatia mimba shuleni walimfuta sasa nataka aendelee na shule inkuaje wandugu tusaidiane for GODS' SAKE!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani msaada wataalamu wangu.nauliza kidato cha kwanza sawa na darasa la ngapi?????? Nahitaji kujaza fomu fulani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zikitoka znaanikwa kwenye website? Ya NECTA au Wizara ya Elimu? Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata...
1 Reactions
35 Replies
32K Views
Among the problems facing Tanzania is fatalism. The nation is occupied by fatalists (high rate of dwellers)-that’s why we’re facing the worst situation of poverty. To rescue the situation let’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
New
Wakuu naomba munijuze matokeo college yanatoka kwa pa1 au laa coz nimeomba vyuo vingi naogopa icje ikatoka post nikaicha na kama kuna m2 anajua vyuo vya afya wanatoa majbu mwez wa ngap? MSAADA PLZ!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mambo yanenda sawia. " Kwa taratibu ambazo zilikuwepo awali ni kwamba mtumishi wa serikali akijiendeleza kimasomo katika taaluma anayoifanyia kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kupata majina ya nyuma kwa waliosomeshwa na bodi ya millponds.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu zangu naomba msaidie kwan nili2ma hizo fomu pasipo kuweka sahihi na tarehe kwenye sehemu ambayo inasema ka umekubaliana na mashart ya mikopo weka sahihi yako hapo chn na tarehe. Nahofia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa ni kitu gani kilifanyiwa mabadiliko ktk mitihani ya kidato cha nne. Nilisikia awali grading zilikuwa mpya so watarudisha grading za zamani, swali, Je mtu mwenye four ya 27 kwa...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Nahitaji kufahamu mahali napoweza kusoma short coarse inayohusiana na taaluma ya E-PROCUREMENT kwa hapa Tanzania itapendeza pia nikifahamishwa vyuo vinavyofundisha taaluma hii nje ya nchi kwa...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Back
Top Bottom