Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Picha wanayotumia TCU kwenye page yao ni aibu tupu, Search page yao .Tanzania Commission for Universities. Ujionee mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF naombeni msaada kwa wanaoelewa juu ya course zitolewazo na ADEM na je kuna uwezekano wa kupata mikopo kupitia TCU? Natanguliza shukrani zangu kwenu!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwenye my profle ya tcu upande wa selection status inabd uandikiwe nn? Na kwenye met min equivalent uandikiwe nn?kwasababu sielew mpaka sasa! Yan katika profile langu kwenye met min equivalent...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf huwa nasikia kuna daktari bingwa wa magonjwa ya watoto na kina mama mara utasikia daktari bingwa kwa upasuaji. Napenda kuuliza hawa watu wamesomea wapi na wana degree...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
swala la elimu nchini limekuwa janga la kitaifa kwa kweli.
0 Reactions
0 Replies
985 Views
jamani kwa mwenye ADVANCED LEVEL EXAMINATION FORMAT HKL
0 Reactions
0 Replies
765 Views
naombeni ushauri.. mimi nilimaliza kidato cha nne 2010 na nilifanikiwa kupata history- C na civics-C ...mwaka Jana nilirudia(2012) nikapata geography-C na kiswahili-B je naweza kwenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari yenu wana jukwaa, naomba kujuzwa kuhusu kozi ya fiziotherapia inahusu nini
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Password ya HESLB nimeisahau! Sasa kuna sehemu ya ku-reset password; ambapo wameandika kwamba kuna njia 3, sasa ile njia ya kwanza imenishinda! Tatizo langu ni kwamba nashindwa kutumia njia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mi nna mdogo wangu na alikuwa JKT katoka lkn time imebana vibaya mno cz vocha za TCU amehangaika kila sehem anaambiwa zmeisha.Kuna uwezekano zoezi likaongezwa kuwapa nafas waliokuwa mafunzoni kwa...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Naomba mwenye busara na huruma anisaidie,nimechagua vyuo vikuu v3 then vingine nikamalizia bt cha kushangaza nilivyoongeza mpaka sasa havpo,vinaonekana vyuo vitatu2 UDOM,UDSM§DUCE.Vp hapo haina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
watu wamejitahidi sana kudanganya wenzao wakati swala halipo ivo.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa atayeniandikia jumla ya Hela ya Nchi. Nitumie m-Pesa, Tigopesa au namba yoyote nakurushia faster ukipata. Natoa saa moja to from now 15:30 to 16:30 UPDATE:- Jibu lako hili hapa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu mie nashindwa kuelewa kila ni log in Cas ya Tcu nakuta wameandika cheking in progress hii ndo inakuaje maana ni mda 2ka niji admitt kwao
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bwana Yesu asifiwe wakuu! Naomba msaada kwa anayejua gharama ya ada ya shule ya Loyola High School iliyopo Mabibo-Dar, kwani kuna kijana ndugu yangu kapata DivII-20 tunataka tumpeleke hapo...
0 Reactions
12 Replies
24K Views
Kwenye min point za tcu 0.5 ni ya gs au mathematics ya o level au a level???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ushauri. .BANKING AND FINANCE (IFM) VS BUSSINES COMMUNICATION & INFORMATION TECHNOLOGY (MUCCOBS). . .
0 Reactions
1 Replies
718 Views
wataalam, nimeombwa msaada na mtu anaehitaji kuomba ajira ya ualim serikalini je aombe wapi? natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mie leo nimelog in kwenye cas ya tcu nimekuta pale kweny min requirement wameniandikia yes lile neno la cheking in progress limetoka,naomben mniereweshe kwanz {min} ndo inamaanisha nin?
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Habari wadau! Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom