Mimi ni mwanafunzi wa , mwaka wa 3 St. Augustine Mwanza, darasa letu tumefanya kitu kibaya sana yaani najuta kwa kushiriki, tumemfukuzisha kazi mhadhiri anayeitwa Nicas, kwa what i call hate...
Wana jf naombeni mnishauri kuhus iz comb mbil ni ip haswa ina market uko mbele.me nimemliza 4m4 mwaka jana 2012 na nmefauru vzur ila xa kuchagua comb ndo kumenichanganya kat ya EGM na ECA celew ip...
Nimerudi nchini na binti yangu ambaye amemaliza Yr9 (UK) sawa na kidato cha tatu hapa kwetu na ninamtafutia shule. Nimeambiwa na rafiki yangu kwamba hizi shule mbili zinafata syllabus ya...
Wakuu matokeo ya CPA kwa waliofanya mwezi mei 2013 yametoka....Haya hapa. Pata nakala yako...
Ukiona wameandika May 2012 ujue hapo ni May 2013 na hapa ni Module A na Module B ndo wamejisahau...
Shaloom wapendwa.......
Natafuta shule ya advance SEMINARY YOYOTE yenye mchepuo wa sayansi esp.CBA o CBG .Niko tayari kutoa vocha via pm,kwa yeyote atakaye nipa details,nikimaanisha ni ipi na...
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
Hivi kweli pamoja na makosa waliyofanya wameachwa waendelee kuongoza wizara?Vp kuhusu waliokuwa wamelipia pesa kwa ajili ya kurist inakuwaje hapo? Post wanatoa lini au ndo wamebanwa na ujuo wa...
Ndugu wana Jf ninashangazwa sana na hii serikali yetu kukurupuka katika matumizi ya teknolojia ambazo haina uwezo nazo.Leo ni wiki ya tatu tangu walimu na watumishi wengine wa Halmashauri waanze...
Nyinyi ni sekta muhimu kwa uchumi wa taifa hili hivyo msikubali vitu vidogo vidogo vikaondoa sifa yenu kabisa kitaaluma.Tunaomba mtuwekee Examiners' Report ya May, 2013 kwenye matokeo ya May, 2013...
Jamani wadau naomba msaada wenu kwa anayejua:
sekretariati ya utumishi wa umma waliendesha usaili mnamo mwishoni mwa mwezi May 2013 MPAKA trh 5 June 2013,
lakini nimeshangaa sana katika majina ya...
Wakuu, kuna tetesi kwamba matokeo ya mitihani ya NBAA yanatoka kesho saa saba na nusu mchana!!!!! Kwa wale waliofanya CPA na ATEC wajitayarishe kupokea matokeo yao. Kama kawaida nasikia ni...
Habari..napenda kuuliza..hapa tanzania kuna makampunI yanayotoa sponsorship..
As wanakusomesha humu humu ndani ya nchi...si lazma uende nje ya nchi..lets say mtu hajapata mkopo wa bodi..ila chuo...
Kwa kweli sisi wanafunzi tuliosoma engineering, tunaiomba serikali itupe ajira ya ualimu katika masomo ya science, maana tunazidi kuleta umasikini huku mtaani hamna kazi. Industry ni ndogo na...
kuna hii body inaitwa kenya accountant and secretary national examination body,nina kijana wangu kamaliza chuo anataka kujiunga hii body kufanya mituhani ya certified securities and investment...
nimesha lipia bodi na nina username na password ila niki login ujumbe huu unakuja A Database Error Occurred Unable to connect to your database server using the provided settings.
naomba msaada...
Wakuu nategemea kuchukua moja kati ya hizo kozi (Bachelor) , Na nipo dilemma hasa ukizingatia swala la uchaguzi wa course ni gumu.. Ningependa kuchukua ipi ipo marketable na urahisi wa upatikanaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.