For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
Wana JF. Mi nlikuwepo hapo Buseco kati ya 95 na 98... Namkumbuka sana Bob Male a.k.a Sulya mzee wa nidhamu. Headmasta na gwanda la kijani na jeans tight... Wa2 2kiona hivi 2najua kuna msala... Je...
nahitaji msaada katika hili, Najiandaa kuanza kuandaa Research proposal based on TRAINING AND DEVELOPMENT AT WORKPLACES,
ANY IDEAS ON THE INTERESTING AND RESEARCHABLE TOPICS PLS?
Samahani sana...
Kwa kuzingatia hali ya mporomoko wa elimu, shule za watu binafsi zifutwe. Shule hizi zimechangia kuua elimu tena bila hata huruma, hawa jamaa wamegeuza elimu ya taifa hili kuwa ni biashara wakti...
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa...
Ilikuwa tarehe 10 june 2013 siku ambayo walimu wa masomo ya sayansi mkoani lindi walipokutana lindi sec kwa ajili ya kuwajengea uwezo wao katka umahili wa kufundisha masomo yao lakn cha kushangaza...
wakufunzi wa vyuo vya Ualimu walipewa muundo mpya lakini cha ajabu muundo huo mpya ulionyesha utekelezaji wake uanze julai 2011 hii ni pmoja na mishahara mipya. Mpaka sasa hakuna utekelezaji...
TCU wameanza kuonyesha eligibility kwa tulioomba vyuo kupitia cas,na wanatumia neno YES kwa eligible course na NO kwa not eligible hivyo ni mda muafaka kuangalia hilo suala.
Jamani wale mliosoma Dar Tech enzi hizo kabla hawajaibatiza jina la Dar Institute of Technology mpo?. Mimi nilikuwepo pale 1986/1989. Mnamkumbuka Mzee Zoro na mambo ya cafteria, mambo ya Juche...
Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih...
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
nimejisajili tcu, lakini napotazama profile yangu kwenye upande wa 'met min requirement' nakuta nimeandikiwa "checking in progress". Kwa anayefahamu naomba anieleweshe maana halisi ya "checking in...
Habari wana JF!!!!!!
mimi ni mgeni ktk jamvi hili, naomba kuuliza kwa kupitia mtandao wa ndugu Isaack Newton, Nina dv.4 ya 27 nime apply chuo cha ualimu Enkenford cha Tanga, Je nikisha maliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.