Nawapongeza walimu wa Mbeya kwani wameonyesha mshikamano na ujasiri wa hali ya juu kwa kwenda kumkabili mwajiri wao kudai haki zao. (chanzo: ITV taarifa ya habari leo saa mbili usiku). Jinsi...
Kila siku zimekuwa zikijitokeza msg znazotumwa kwa walimu juu ya kaz na mishahara yao lakini huwa si kweli.
Kwa sasa zinatumwa msg zikionyesha kuwa kuna waraka utakaoanza kutumika 01/07/2013 juu...
Shule ya sekondari kizomla iliyoko kata ya mkamba wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani,ina wanafunzi wawili tu wa kidato cha tatu,Shule hiyi iliyoko umbali wa takribani km 80 hivi kutoka mkoa wa Dar...
Wakuu, natafuta shule ya sekondari kwa mtoto wa kike, ambayo wanafunza maadili mema na kusaidia kurekebisha tabia. Naomba msaada kwa mwenye kujua shule za namna kama zipo Tanzania. Imekuwa...
Kwa muda mrefu hapa nchini tumekuwa tukimtafuta mchawi ni nani anayeharibu ustawi wa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchini (hasa wa kike),lakini kwa kipindi hiki kifupi tangu nilipofika hapa...
Kwakweli nchii tunakokwenda ni ajabu............ukianzia TCU namba za simu Zilizowekwa ili mtu awasiliane nao ni kwamba zote tunaambiwa hazipo. Hilo moja namba ya HESLB (Phone 255-22-2669036/7)...
To any one with an understanding on The List of Commercial Banks in Tanzania Since Independency to date "IN FIGURES" (i.e. Since 1961 - 2012 in figures) could he/she help me to list them...
Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa hapa chini:
UTANGULIZI:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo...
Habari wajumbe mimi nimemaliza form six mwaka jana niliaplay mkopo nkapata lakin kdogo mno yan ada siku pewa kabisa and nilsoma sayans sasa nlikuwa naulza naweza nka appeal mwaka huu baada ya...
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika...
Habari za leo Wakuu!
Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa.
Jumapili njema.
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.