For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
Naomba kujua kulingana na matokeo ya mwaka huu vijana wengi hawajafikisha cut-offs za 4.5 je unaweza kuchukuliwa kwenye chuo vyenye uhitaji huo(4.5) ukiwa na pungufu ya hizo mfano una 3.5 naomba...
leo mida kama ya saa11 JION nmejaribu kuingia katika mtandao wa tcu nimeshaa kuona nmechagulia vyuo vipya na mipango mipya kabisa..nlifikiri tatizo ni langu peke yangu lakini nlipojaribu kuuliza...
If someone is in need of being a lecturer, what are the steps he/she is required to follow...? Including what fuculty in university level one is required to take...? Pliz help...!!
Jamani wazoefu msaada kidogo...nimetembelea profile yangu ya TCU leo karibu nizimiee....
Nimekuta selection zangu zote zimevurugwa vurugwa na nimewekewa mpya..mbaya zaidi hizo mpya zenyewe...
Habari za Kuaminika ni kwamba kulikuwa na matengezezo kwenye Mitambo yao (SEVERS); ambayo yalipelekea kubadilika kwa Programm za waombaji na kwamba hilo halikuwa ni tatizo bali ilikuwa ni zoezi la...
Shule ya Itende High School, jijini Mbeya ina tangaza nafasi kwa wanaotaka kurudia mitihani yao ya kidato cha NNE 2013 (SAYANSI NA ARTS) kuwa tumeanza kuandikisha, nafasi zipo! PROGRAMU NI KAMA...
Wadogozetu walomaliza kidato cha sita wamekwenda jeshini JKT laKini serikali haikutangaza wanatakiwa waende na nini huko jambo ambalo linawalazimu kujinunulua vitu vyakutumia na kama huna ndo...
inawezekanaje kuna siri gani , kwa sabb gani, hawataki nani asijue? wanataka wananchi wasijue nini, haya mamo yanaashiria nini, ni ethics za wapi kuficha kiwango kipya cha mshahara, ndio njia ya...
Wizara ya elimu kwa sasa inao mpango wa kushusha alama za kufaulu kwa wananafunzi wanaomaliza kidato cha nne.
Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo alisema kuwa wizara inaangalia utaratibu mpya...
HABARI ZILIZOJIRI HIVI PUNDE kuwa wahadhiri katika chuo kikuu cha TEKU wameongoza mgomo baada ya kuendeshwa kidikteta na uongozi wa chuo hii imetokana na kufungwa chuo bila wataaluma wa chuo...
Salaam Waheshimiwa,,...kama kuna yoyote mjuzi au mwenye ufaham zaidi juu ya suala zima la kuwasaidia hawa watoto namna ya ujazaji wao wa mkopo via internet atoe namba yake,,....atalipwa awajazie...
HALI si Shwari Ndani ya Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) baada ya Uongozi wa Chama cha Wahadhili wa Chuo hicho (TEKUASA) na wanachama wake kutangaza mgomo wa kutotunga mitihani ya kufungia...
Habari zenu wakuu! Naomba kupatiwa ufafanuzi juu ya program gani itakuwa na future nzuri kati ya hizo nilizozitaja hapo juu. Bwana Mdogo kaniomba ushauri juu ya program ipi kati ya hizo tajwa hapo...
kuna utaratibu kwamba endapo utapoteza cheti chako cha kidato cha nne au cha sita haijalishi ni kwa namna gani iwe kuibiwa,kuunguliwa, kudondosha, kwenye ajali hata uje na evidence gani hutapatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.