Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

matokeo kidato cha sita yametoka tembelea www.necta.go.tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajukwa! Mimi ni mwalimu by professional,nimemaliza diploma last week katika chuo cha kigurunyembe teachers college kilichopo morogoro! Masomo yangu ya kufundishia ni Geography...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu ameniambia niombe kuuliza hv iv 34 ina chet?
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Habari zenu wana jf kwanza kabisa napenda kuishukuru serikali yetu kwa kutuletea matokeo mapya, kuna wengi wamefurahishwa kutokana na matokeo hayo ikiwemo wanafunzi, wazazi pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
wapendwa ningependa kufahamu kama matokeo yetu pia yamerudiwa kutangazwaa ?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Baada ya kimya kirefu cha kama miezi miwili hivi hatimaye Necta wameweka matokeo mapya. baada ya kazi nzuri ya baraza na wizara hatimaye mpwa wangu kapanda daraja kutoka III hadi II ya 21...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hatimaye mwaka huu baraza la mitihani limeresit lenyewe badala ya wanafunzi #tanzania haiishi maajabu#
0 Reactions
0 Replies
1K Views
zasaa hizi wakuu,naomba kujuzwa juu ya mpangilio wa grade a level unakuwa vipi.... Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesikia kuwa Madaktari wameongezewa mshahara kwa asilimia 65 vipi kwa kada nyingine kama Walimu,Askari nk.?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu haiwezekani mtu mwanzo alikuwa na div four ya 30 sasa ana div 1 au div 3 alafu mimi mwanzo nilikuwa na div 4 ya 27 sasa nina 26.sasa wakuu naomba mnipe process za kurudia baadhi ya mitihani...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Samahanini japo kuwa hapa siyo mahali pake, matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero yamesahihishwa upya na yametoka leo bado nimepata zero ileile, siku nzima ya leo sijala asee siamini hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani mtu mweye mtandao wa matokeo mapya ya Form IV naomba atuwekee link hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi wadau kwa wale ambao walikuwa washalipia ada ya mtihani , na katika matokeo ya 2 wakafaulu je NECTA watarudisha hiyo ela ? yeyote anaefahamu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya sasa wana jf na hayo matokeo ya f6 lini maana ya form 4 yashatoka mwenye info yoyote?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kupata matokeo ya namba s.1799/0029 na s.2586/0003.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau kuna bwana mdogo hapa amepata div 4 ya 27 akiwa na D flat na C ya biology, naomba msaada kwa yeyote anaefaham vyuo vya missions/privates vinavyotoa kozi ya nursing hasa kwa hapa Dar hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa kuangaliziwa matokeo ya shule ya sekondari bwafumba.
0 Reactions
3 Replies
859 Views
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Habari jamvini. nina mdogo wangu amabe matokeo mapya yametoka ni mmoja wao lakini matokeo yametoka ana Div 4 point 32 na ana D 3 alikuwa anasoma Art kiukweli Mdogo wangu Sijui nimsaidie vipi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bado nina imani kila lililotokea kwangu was fate Kwani kwa haya matokeo mapya yamenipa matumaini makubwa kutoka kwenye IV ya 27 hadi III ya 25 namshukuru mungu But it is unbalanced combination -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom