Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita...
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya...
katika matokeo ya awali ya kidatocha nne kulikuwa na div 1 za single digit 3 nazo zilikuwa ni za point 9 ambazo 2 zilitoka Feza boys na 1 ilitoka Don Bosco seminary ! ila cha kushangaza ni kwamba...
Amani kwenu!
Tunafahamu kuwa matokeo (version 2) ya hawa Form Four yametoka. Nashauri popote pale tutakapowaona tuwahimize sasa wachangamke na hatua zinazofuata bila kupoteza muda.
Ninamaanisha...
Kama umetia 4 ya 26 alafu kama una C mbili katika comb uliochagua first basi tuombe mungu katika selection NA tujiandae kupigamapindi
mfano ulichagua pcb mwanzo alafu chem c bio c na phy d...
Jf...!
Wakuu napenda kufahamu taarifa za Matokeo mapya ya mwanaJF mwenzetu Isaack Newton,
Kama mna kumbukumbu nzuri wote mtakubaliana na mmi kuwa ni vyema sasa tukapata fedback ya matokeo...
Serekali ya tanzania inatarajiwa kutangaza matokeo mapya ya kidato cha nne siku ya Ijumaa.
Hayo yame semwa na wazir wa elimu wakati aki hojiwa katika kipi cha kume pamba zuka cha radio 1
pia wazr...
Wadau naomba msaada nina principle mbili za vyeti tofauti yaani moja ya kurisiti zote ni E. nimejaribu kuaply kupitia tcu lakini system inasema sina principle za kutosha, sasa je naweza kusoma...
Kwa yule mwenye information kuhusiana na mafunzo ya ualimu
Je kiwango gani kinatakika kwa mtu aliyemaliza kidato cha nne?
Nauliza nikimaanisha both government institution na private institution...
Habari wanaJf, leo nimecheka sana baada ya kukutana na ujumbe wa kijana aliyewasaidia form four kureverse matokeo mwaka huu2013. Anajitapa eti amehakikisha badala ya Form Four Failures kuresit...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imewaomba wanafunzi waliohitimu kidato cha sita watume maombi yao ya kuomba mikopo hata kabla ya matokeo ya mitihani yao. Bodi imesisitiza kuwa mwisho wa kutuma...
Hata kama serikali ikibadlisha sera za elimu kila saa ,kama hawatakubali kuwa mwalimu ni mtu muhimu na anastahili mazingira bora na maslahi bora ,tutaendelea kujiuliza maswali mengi kwa nini elimu...
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana,
pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita,
tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii..
kama ulisoma shule za mfagio na kidumu cha maji utakuwa si mgeni na;
-Awafu mwenye nguvu
-Pamela na kipini
-Siku ya gulio
-Tola alia gizani
-Watoto wageuka mawe
-Mkutano wa wanyama
-Nani...
Wakuu naomba msaada wenu kwa watu wanaojua process zote za kuomba mikopo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu ninatatizwa na kitu kimoja ambacho n kwamba unapomaliza kuijaza form hiyo...
A man was killed on Sunday morning. His wife found the body and called the police. The police arrived and questioned the chef, maid, butler, and gardener. Their alibis were:
Chef - making...
Cha kushangaza ndugu watanzania hamuwezi kuami kwamba serikali inayoongozwa na CCM ina shule moja tu ya kufundishia wanafunzi wenye ulemavu wa kusika, iitwayo kigwe iliyoko wilaya ya bahi mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.