Jamani wadau wa elimu mwenzenu yamenikuta naombeni mnisaidie nimeaply mkopo kwenye bodi ya mikopo online
lakini nimefika sehemu naambia kujaza index namba ya form six nami sijasoma form six...
TUMEKUA TUKISHUHUDIA MIGOMO KATIKA VYUO VIKUU HAPA NCHINI LAKINI HATUJAWAHI SIKIA HATUA STAHIKI KATIKA KUTATUA MATATIZO YANAYOPELEKEA WANAFUNZI KUGOMA JAMBO HILI SASA LIMEAMIA KATIKA SHULE ZA...
Jamaa mmoja baada ya kusumbuliwa sana na gari lililokuwa mbele yake,akaamua kuchukua namba iliyoandikwa nyuma ya gari,nakuipiga,aliyeipokea alimuuliza shida nini,jamaa akasema huyu dereva wa gari...
Kutokana na maandamano ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mzumbe wa kushinikiza madai yao kutatuliwa,serikali kupitia katibu tawala wa mkoa wa morogoro bwana Elia Ntandu wamefunga shule hiyo...
Vijana wa Form Six Mavuno yenu haya hapa: Source http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htmNATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIAACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES...
http://tcu.go.tz/images/pdf/201314Admission.pdf Samahani aliyeelewa 'activity' yenye serial number 3 katika 'Important dates' page no. 3 kwenye hiyo document anieleweshe, yaani inamaanisha mwisho...
Kwa kweli nipo na maswali mengi sana kuhusu elimu yetu ya Tanzania nilikua nauliza nini kifanyike
Pia maoni yangu ni kwamba hata D basi nazo ziwe principal kwa o level
wakuu naomba mnisaidie kunijazia online survey yangu iko upande wa data mining in health care
https://docs.google.com/a/nm-aist.ac.tz/spreadsheet/viewform?formkey=dGJZUTMyVl9UR0R6cUEzZTJaSVNNaGc6MQ
Amani ikae kwenu!
Naomba nisaidieni kufahamu, na-apply Masters Degree Uingereza, na kama kawaida inatakiwa reference letter. Hivi nani anaruhusiwa kuandika hiyo reference letter? What are the...
Jamani mi napenda kuishauri TCU ijaribu kutembelea mara kwa mara vyuo vikuu kuangalia elimu inayotolewa huko, Kwani kuna baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini elimu itolewayo ni sawa na mtu kwenda...
Tembelea website ya necta kwa more information. Plz msije jinyonge kama walio jinyonga baada ya matokeo ya form four.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wakuu naomba msaada tafadhali
mimi nimhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012.
Nimebahatika kupata division 2.
Ninapendelea kusoma comb ya pgm,
shule gani ya serikali naweza kupangiwa, au hakuna...
Salamu wanajamvi,
Poleni na mishe za wiki zima na Longolongo za mjengoni:kev:,
Nimekaa nimetafakari hatua ya baraza Kurisiti na kutoa matokeo mapya , Kimsingi sijaona tija zaidi ya kutabiri...
salut wana Jf,
Necta mda leo tarehe 31/5/2013 imetoa matokeo ya kidato cha sita 2013,
Bonyeza kwenye link hii kuingia kwenye website yao
The National Examinations Council of Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.