Mi nimemaliza kidato cha sita na nime jaribu kuregister kwa kujaza kila kinachohitajika katika page ua CAS lakini napata error ambayo inasema your A level index number is not in our records je...
Wakuu jf mi ni mojawapo ya wanafunzi waliofaulu kwenda form v 2013 kabla ya matokeo kufutwa lakin cha kushangaza matokeo yangu hayajabadilika wakati kuna watu walokuwa na iv za 28 na 27 lakini...
mimi kwa jina naitwa Yassin Said Athumani ni
kijana ninaeishi morogoro ni mmoja kati ya
wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne
katika shule ya Jabal hiraa seminary school lakini
matokeo...
nina div 4 ya 18,bam f,gs f,geo e,hist s na economics f,naomba ushauri kama kwa matokeo haya naweza jiunga na diploma vyuo vya hapa bongo,na vp course zote related to tax?naweza pata kwa hayo...
I have my selections not yet processed since May-1-2013. Can someone give me an idea of how I can have my selections be processed in time? Am really tired of seeing the same message " CHECK IN...
nimeona wATU WENGI WANATISHA UKIFELI GS HUPAT CHUO.NIMEANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA kusisitza SI za kweli hizo taarifa.KAMA UNA POINT ZA KUTOSHA UNAPATA CHUO TENA HATA MLIMANI UDSM.UO NDO...
ndugu zangu, bila S ya GS huwezi kwenda chuo kikuu. Kwa taratibu na kanuni za TCU na vyuo vikuu GS ndo inasapot perfomance yko kwny comb uliyosoma. Hvyo hata upate div one ya points 3 bila kufauku...
Na sijui NECTA wanawekaje ranking zao..wanawezaje kuwaweka namba 4 wakati hamna zero wala four?..Its unfair kuiweka Mzumbe namba 2 wakati ina 4 mbili na 0 moja.
Anyways...congrats sana...
Kutokana na hoja za serikali LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao...
Ndg zangu poleni na mihangaiko ya hapa na pale hasa ya kimaisha.kwakweli mwenyezi mungu anamakusudi yake hapangi wote waende 4m 5,kwa matokeo yangu nimeambulia hiki kidogo nimepata 4 ya 30 kwa...
Naaanza kwa kutoa pongezi za dhati kwa Serikali hii iliyopo Madarakani kwa kurekebisha Matokeo ya kidato cha 4 nne,
kwa hili naomba niunge Mkono.
Sio kila jambo Serikali hii iliyofanya tubeze...
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu.
Shule zilizoongoza ni
1. Marian Girls
2. Mzumbe
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009...
Kuna baadhi ya kata ambazo zilikua hazina madiwani na uchaguzi huo unafanyika hivi karibuni kwani kampeni ndo znaendelea kwenye kata hzo kwa mda huu.sasa ccm ndo watajua kua mda wao umekwsha
We know the effects of striga especially on cereals, then there is a new invention/technology of control for it called push- pull technology.In this we might use Desmodium as a 'push' being...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.