Ningeifuta chama cha walimu (c.w.t), mimi naona hiki chama hakitetei haki za walimu kama ilivyokuwa chartism au trade union nchini uingereza, kwanza hakina huruma dhidi ya walimu
Anayeijua hii course kiunagaubaga anieleze ikoje, sifa, qualification, kazi yake, marketability yake, ugumu wake, mkopo wake.
Najua kwamba inatolewa MU peke yake nielezeni koz nimetokea kuipenda...
Nimesoma EGM na nimepata 3.13 yaani
economics D
geog E
a.math D. Sasa wakuu naombeni ushauri wenu nisome coz gan nzuri kulingana na matokeo hayo.Asante.
Ni wazi watz tuna vichaa tena sana tuu, Tumewekeza sana ktk ujinga kwa miaka mingi tuu.
Walimu wetu wote wamekuwa ni failures au wasio na taaluma ya ualimu au hata somo husika. Wala hawasomi...
najaribu kumsaidia jamaa yangu mwenye diploma kuapply for degree,baada ya kumaliza registration kwenye CAS system,kuna kipengele cha kurequest nacte student ID ndo ikakwamia hapo,nimejaribu...
Katiba ya anJamhuri ya muungano ibara ya 1(3) Inasomeka hivi:
Jamuhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaaa,isiyokuwa na dini,yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa:
NB:Chama...
Nawasalim wote ndugu zangu,nilikuwa nauliza na kuuliza jmn so ujinga nikwamba cjui ndomaana nawauliza ndugu zangu,kutokana na matokeo kutoka ndugu zangu nimepata div 4 ya 29 so ndugu zangu...
jaman mi na Phy F Chem E Math E G/s F, je! Naweza kupata chuo? yan inawezekana nikaenda chuo kusotea degree? au ndo imekula kwangu? naomba msaada wenu wanajamii
Naomba kuuliza je kama mtu ana F ya Gs kwenye matokeo ya f6 na masomo mengine ana princple 3 kwa mfano
gs- F
bam- s
economics- d
commerce- d
acountant-d
div 3 pts 12
je mtu huyu...
Mimi ni mhitimu wa form6 na matokeo yangu ni Histry-S, Geog-E Economics-E na gs&bam F ila form4 nina C ya hesabu.je, nawekuchaguliwa acountancy?
Thanks in advance...
wana Jf hebu tuliangalie hili kwa undani zaidi,leo tarehe 14/05/2011 niliamuwa kujaza fomu ya body ya mikopo kwa ajili ya mke wangu ambae amepata nafasi ya kuja kusoma hapa china
nimeamka saa...
kwanza naomba radhi kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine nitawakera. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013, naishi kijijini, yaani hakuna umeme, maji na hata mitandao ya simu hakuna...
SERIKALI HAIJAFUTA MITITIHANI YA TAIFA YA MASOMO YA DINI
| Print |
TAARIFA KWA UMMA
SERIKALI HAIJAFUTA MITITIHANI YA TAIFA YA MASOMO YA DINI
Serikali inapenda kuwafahamisha wananchi...
Tupo kariakoo - dar, mtoto anasoma chekechea kwa sababu ya umbile lake kumbwa tungependa awahi kuelewa kusoma na kuandika mapema, naahidi kumlipa vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.