Ndugu Wahitimu kidato cha Sita na kidato cha nne 2012 ambao matokeo yao wametoka kuanzia tarehe. 30.05.2013,
Nimepata taarifa hivi punde tu toka Wizarani Makao Makuu Idara ya Elimu ya Ualimu kuwa...
Leo J2 tar. 2/06/2013.saa sita na nusu Mchana katika ukumbi wa Hindu Mandal ulioko Moshi mjini Opposite na stand kuu ya Mabasi kutakuwepo na Mahafali ya wahitimu wa CHADEMA STUDEMA STUDENTS...
MATHIAS Inc. INATOA HUDUMA YA KUJAZA FORM ZA BODI YA MIKOPO KWA BEI POA KABISA.
WAHI SASA UJAZE FORM YAKO MAPEMA NA UWEZE KUTUMA MAOMBI YAKO KWA WAKATI.
TUPO OPEN UNIVERSITY - CHUMBAGENI
KWA...
Waungwana mimi nimemaliza form six mwaka huu kama private candidate, ila nikiingia kwenye applications wanasema namba yangu a-level hawaijui. but ni namba halisi ya Mbezi Beach. wale bodi ya...
Hivi jmn process yote inaishia online au nitaprint hizo form nakuzituma? Bado sijaanza kuaply...naombeni mnieleweshe plz b4 sijaanza maana niko mbali na vyeti vyangu.
uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia...
Nataka msaada wa mawazo toka kwenu wana jamvi, nina option mbili, either nisome Msc. Accounting and Finance au MBA-Finance, naomba tuzichambue ili niweze fanya good decision, kupata msaada kwa...
IKIWA matatizo ya walimu hayatashughulikiwa ipasavyo ikiwemo kupata walimu wenye viwango vinavyokubalika
ninahakika matokeo ya miyihani yatakuwa yakifuta kila mwaka wala siyo kwa kidato cha nne...
mimi kwa jina naitwa Yassin Said Athumani ni
kijana ninaeishi morogoro ni mmoja kati ya
wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne
katika shule ya Jabal hiraa seminary school lakini
matokeo...
hbr, matokeo yng ya 4m 4 hayo, hst f, ksw c, eng d, civics c, geo d, math f, biology c, je naenza endelea na advnc na kufanya mtihan wa 4m 6 kama school candidate, na kama college niende koz gan...
Watanzania waliokuwa wanasubiri kwa hamu na gamu kutuma maombi ya kupata mkopo ili kuweza kusoma katika vyuo vya elimu ya juu muda umewadia.
Maombi yataanza kupokelewa siku ya Jumatano tarehe...
Kwa nini napingana na system ya Tanzania ya NECTA, mtihani moja nchi nzima ku-determine future ya mwanafunzi ni ujinga, Mfano mzuri Mtu anayetaka kuingia vyuo vya nchi za nje anaruhusiwa kufanya...
Wakuu naomba mnijuze matokeo ya kuappel huwa yanachukua muda gani kutoka maana nishajaza barua bado kurudisha tu.
Alafu huwa yanabadilikaga kwa kiasi gani.nataka kuappeal mtihani wa kidato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.