Nina IV ya 18. HGE
Bam F, Gs F, Geo F, Eco E, Hst S.
Eti jamani mlionitangulia ninaweza kusoma dipl. ya Finance au Ecinomics na vyuo vipi vitanikubali? kama haiwezekani nisome nini kwa sababu ata...
Mim nlihitimu kidatu cha nne 2010 na nkapata c5 na d 1 ckwenda advance. bt nlisoma diploma ya nta in financial administration nmemalza mwaka huu. so nataka kuomba degree bt nataka nsome economics...
Habari zenu JF members,
Kutokana na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi na ata yale ya arts na biashara,
nimefikia wazo la kuanzisha website ambayo itakuwa inahusiana na wanafunzi kupata...
1}chagua kozi ambayo unaipenda kwa dhati kutoka moyoni,usichague kozi just ili na wewe uje kuonekana uko chuo kikuu,kumbuka hyo ndio future yako so fanya maamuzi sahihi.
2}usichague vyuo kwa...
Mimi ni kijana niliemaliza form 4 mwaka jana matokeo ya kwanza nimepata division 0 ila nashukuru mungu matokeo ya pili nimepata division 4 ya 33 chemistry D,maths D nyingine zote F nahitaji kujua...
Kwa sasa hesabu au math ni somo la lazima sasa kwa uhaba huu wa walimu shule nyimgi za kata hazina walimu si hesabu tuu hata masomo mengine ya sayansi. Kwa hali hii kwangu mimi sioni sababu ya...
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
WANAFUNZI WALIOFANYAVIZURI ZAIDI KATIKA MTIHANI WA CSEE 2012
1. Watahiniwa Kumi (10) bora Kitaifa:
NAFASI
NAMBA
JINA
JINSI
JINA LA...
Zamani za ukoloni, palitokea Mzungu mmoja. Mzungu huyo hakuwa mtu mwema. Alikuwa mkali na mkatili sana. Kwa ajili ya ukatili wake watu walimwita mkoloni. Wananchi wote walimchukia sana popote...
Heshima kwenu wakuu! Naomba kufahamishwa kama mtumishi wa umma aliyehitimu masomo katika chuo kikuu huria (Open University) anaweza kuendelea na masomo kwa mwaka unaofuta kwa kuunganisha bila...
Jaman nipen mawazo nina 3 ya 24 eng c kisw c bio c na chem c halafu masomo mengine nina d. Chaguo la kwanza nimejaza pcb na sasa haijabalance, kwa hapo nianze kutafuta shule ya private au nisubiri...
Habari zenu wana jf.......wakuu naomba mnipe mwongozo wa kile ambacho ntaenda kusomea chuoni....nna div 3 ya 13 yenye ECONOMICS-D
GEOGRAPHY-D
HISTORY-E
Pia nina F ya gs ingawa naona haitokuwa...
habari zenu wandugu,nilimaliza kidato cah nne mwaka juzi,na nilipanga tangu zamani kusomea sheria,tatizo ni kwamba matokeo hayakuja vile nilivyopanga iwe ila bado nina dhamira ya kusomea...
Nina Div II ya points 10 HGL. Nahtaji kusoma Bcom in Human Resources Management au Bcom in Tourism and Hospitality Management. nisaidien msaada wa mawazo kwa uzoefu wenu na pia nahtaji kujua...
Napenda nianze kwa salaam, wakubwa shikamoni, wadogo habari zenu. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, nimepata III ya 15 (HistoryE KiswahiliE LanguageE General Studies S).
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.