Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application...
Habari Za mchana wana jamvi? Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha Comunity Based Organization (CBO), Ombi langu ni kwamba ninahitaji msaada wa mambo ya msingi na hatua za kufuata wakati wa usajili...
Uongz wa cuhas umetoa siku15 kwa wanafnz ambao watakua hawajlipa ada kulpa fain ya lak1 na ktofanya mthn wa sem hii mpka mwka ujao.kwa hl mnaumiza watt wa wakulma wacokua na uwezo wa kulpa kiac...
Jaman wadau mimi nimemaliza form six na nna div 3 y 16 kwa Combi ya PCB matokeo yangu ni Physics-F, chemistry-D, biology-E ; naombeni ushauri wa course itayonifaa na chuo.
I need advice
Kozi ya diploma in Journalism at London School Journalism (LSJ) through distance learning programme takes 2 years. Nimetumia miezi 9 kumaliza. NACTE wanasita kusajili cheti! Kuna logic? Unahija...
Wakati bado kuna changamoto na sintofahamu nyingi katika sector ya elimu hapa kwetu,jirani zetu wanazunguza mengine kabisa,wakati kuna ukosefu wa vitendea kazi vya kufundishia,miundo mbinu...
Bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana www.heslb.go.tz lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!?
Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/=...
Habar zenu wakuu.napenda kuwaslsha jambo hli lnalozuia baadh ya vjana kupata fursa ya kusma tasnia hii.wakat miundo mbnu yote ya kua na program hii ktka vyuo vkubwa kama muhmbili na bugando ambko...
Wakuu naomba kufahamishwa wapi nitapata data kuhusu idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini na ada zake. Vilevile kama kuna mwenye data hizo naomba anipatie.
Naomba pia kujua ada za shule za msingi...
Wana JF Habari zenu!!!!
Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka...
Mwone huyu alipost ujinga juz baada ya necta kutangaza upya matokeo ya form 4 anajiita et sa siingekuwa siri yake tu
secret 23:20 30th May 2013
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata...
Kila Mtanzania anajua kwamba elimu yetu kwa wakati huu iko njia panda hasa kutokana na ukweli kwamba serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi(CCM) kilichojigamba kuleta maisha bora kwa kila...
Katika hali isiyo ya kawaida, wabunge wengi wa CCM waliochangia hotuba ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wameoneshwa kufurahishwa na matokeo mapya yaliyotangazwa na Kawambwa baada ya yale ya...
Nivema tukachukua muda huu tena kujaili suala hili ambalo sasa limekuwa kero hapa UDOM. kuna kiongozi mmoja wa serikari ya wanafunzi UDOSO Ed mekuwa akifanya mambo ambayo ni kinyume na sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.