Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini:
1.0 UTANGULIZI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa...
Wana JF, mmewahi kufikiria kuhusu wanafunzi wetu wa A-Level wanavyopotezewa muda wao juu ya masomo ya Basic Applied Mathematics (BAM) na General Study (GS)???
Kwa mchango mkubwa wa masomo haya...
Nilikuwa napita pita katika TCU website hususani katika kitabu cha sifa za kudahiliwa katika fani fulani na kuangalia sifa za vyuo mbali mbali za kuingilia katika fani mbali mbali. Nimekutana na...
Jaman naomben msaada kwa anayejua tuition hapa zanzibar wanapofundisha PCB. Anielekeze mahali ilipo na kuhusu gharama zake zikovp. Ntashukuru kama mtanisaidia ndugu zangu!!
wakuu nisaidieni msaada nina mjomba wangu yeye amemaliza form six na alikuwa akisomea combinationa ya PCM alichokipata kwenye matokeo yaliyotoka hivi majuzi ni Point 20 division four.
Ni wapi...
Mm nmehitimu nta 6 financial administration-accounting, so nlikua nataka kuomba degree in statics ya udom au economics in project planning and mgt bt requirement zake zmeandikwa related diploma...
Naomba mnisaidie, nina mdogo wangu anataka kuomba diploma ya ualimu kwenye vyuo vya serikali kupitia wizara ya elimu, lakn bado hajapata result slip. Sasa basi, naomba kujua kama tayari washaanza...
Yaani website ya hii board ni matatizo kabisa bora TCU wako systematic. Nimelipia elfu 30,000 tangu jana gharama ya kuapply mkopo HESLB lakini nahangaika tangu jana kila nikiingiza Transaction ID...
habari zenu wanajf,
nivizuri kuanza kusoma part gani ya chemistry kwa mwanafunzi anayeaanza kidato cha tano i.e physical,general,organic au inorganic chemistry?
Wadau poleni na kazi, naomba mnihabarishe kuhusu mishahara mipya wa walimu itaongezeka kiasi gani kwa ngazi mbalimbali mf shahada kuna ndugu yangu mwalimu yupo huko kijijini ananisumbua sana...
I'm in hunger and thirst for knowledge, can anybody quench my thirst and feed me with an inspirational book..?
##PDF formats or title n author ar highly appreciated.
I'm grateful for Ur...
Habari wana JF . Naombeni mnisaidie kunishauri kozi ya kusoma kati ya hizi.
1.Bachelor of science in Agriculture general
2.Bachelor of science in Agronomy
3.Bachelor of science...
Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo
1.Akil yako itakuwa...
Naitwa mwita mnyoro mkazi wa kijiji cha kubiterere, bunchari, tarime, mara, naomba msaada wa kusomeshwa kidato cha tano 2013 roho inaniuma mzazi wangu jembe lina mzeesha mwenye moyo wa kunisaidia...
mdhamini wangu hana kadi ya kupigia kura ,hana pasi ya kusafiria na hana kitambulisho cha utaifa lakini ana kitambulidho cha kazi! je tunaweza kutumia hicho kama kiambatanisho?
Jamani nilikua naombeni ushauri kama una div 3 ya 17 yaani umepata bios C phy F chem F na S ya bam na g.s je unaweza kusomea diploma ya clinical officer au ualimu? naombeni msaada wa mawazo please
Nawasalim wote ndugu zangu,nilikuwa naomba kuuliza kuwa kama umwpata four ya 26 na unataka kwwnda uhasb chuo lkn masomo ya business umefil yani una F kwenye hayo masomo na hesabu pia,je utaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.