Tovuti ni sawa na ubao wa matangazo
Enzi zetu Mbao Za Sakafu, Za sementi ulioandikkwa matangazo kwa choki
inashangaza sana siku hizi etu shule zinakosa tovuti au blog, modem zote hizi kw nini...
Nimejirejsta TCU kwa namba ya mtihani wa pili yani namba ya kurisiti bada ya hapo sistim ilinikatalia nakujiunga na TCU na kuniambia kwamba sina credit na sijakwalifai hata baada ya kuad namba ya...
Wadau!
Eti sekondary kuna ada inafikia milioni 11 kwa mwaka...Nasikia iko Shinyanga sjui!
Kuna hii sijui Feza boys sijui girls ada milioni 6 kwa mwaka
Kuna chekechea nimesikia sijui iko wapi ada...
Habari wakuu...poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa...Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na nilipata daraja la pili la alama 21..kutokana ufukara nilishindwa kuendelea na...
Wakuu naomba mnisaidie chuo chochote cha serikali cha kumpokea huyu mjomba wangu maake baada ya kufeli kidato cha sita amechanganyikiwa sasa anataka kusomea umedecine kwa kutumia cheti cha Form IV...
Hello members!,hope u doin good n here!,these are my necta form four results;hist C ,civ C,geo D,kisw C,eng C,lit C,phy C,bio C,chem C ,math F.now with this will I be taken to a government school...
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa...
Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...
Wakuu naombeni msaada wenu hapa......nimejaza fomu ya mkopo online sasa pale kwenye index ya shule kila nikiingiza ikawa inaniambia school not found....baada ya kuona inanigomea sana nikaamua...
habari zenu wana jf,
samahani naomba msaada wenu ili niweze kuelewa haya mambo.mimi nataka ku-apply chuo na napenda kusomea moja kati ya achtecture au building economics.,ila sijui kipi kina soko...
Nilihitimu form six mwaka jana nikapata I.7(Phy-C,Chem-B,Adv/math-B).Kwa bahati mbaya niliugua ghafla hivyo nilishindwa kufanya application za vyuo tcu ukizingatia mi ni yatima na sina msaada hata...
Wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2007 na matokeo yalikuwa MATH;C ,CIVICS;B ,PHY'S;C ,BIOS;C ,CHEM;D ,GEOG;D ,ENG;D ,KISW;C..Nilishindwa kusoma kutokana na sababu za kiuchumi....mwaka huu...
Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini:
1.0 UTANGULIZIBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.