Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kuchelewa kwa matokeo ya kidato cha nne hakubadilishi ulichofanya siku ya mtihani,hivyo kuwa na subira tu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf wenzangu naomba mnieleweshe maana huwa naskia postgraduate sielewi maana yake.
0 Reactions
8 Replies
22K Views
Ndugu zangu Naoma tunatumia muda mwingi sana kuzungumzia "kufeli" kwa wanafunzi bila kuangalia huyo "aliyefeli" anachangiaje kuinua uchumi wetu na "aliyefaulu" anauvurugaje. Hebu tafakari...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
walimu wanasubiria kwa hamkubwa mwezi wa saba wataongezewa Tsh.ngap kwenye mshahara wao>>> Je serilali inalijua hilo au wewe mwananchi walifam hilo? Ongea na mwalimu wa mtoto wako ili akubaliane...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wakuu. hivi hii inatokana na nini wakuu maana inanishangaza sana,mwanafunzi anafanya vizuri form IV alafu six anafeli,sijui ni sifa,mapenzi,ovakonfidensi au nn?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi JF, Creating wealth is not something that is typically taught in schools and although many people dream of becoming wealthy, very few actually take the time to learn the secrets to success or...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Kuna kijana hapa chumbageni kanifata ananiuliza kama anaweza kusoma diploma ya clinical officer. Me mgeni kidogo kwan sijapitia mfumo huo. Matokeo yake mapya ni PHYSICS-C CHEMISTRY-D BIOLOGY-B...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wadau mm ni mhitimuform 4 mwaka jana nikapata alama zifuatazo je nawezachaguliwa nkasome combi ya CBG Biolog-C. Chem-D geog-C english-B histor-C. Physcs-D. Civics-D Kiswa-D. Math-F...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau wa JF naomba kuuliza swali,nifahamisheni vyuo vinavyo toa facult ya geology TZ (Vyuo vya madini).naombeni msaada wenu plz :A S-fire1::A S-fire1:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti kana mtu amefanya mtihani akapata IV 27,akaamua kurudia mtihani ili kutafuta crdt zilizo baki.Lakini baada ya kurudia mtihani akawa amefanya vibaya. Je?anaweza kutumia cheti chake cha kwanza...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Tangu jana nimejeribu kuingia kwenye website ya bodi ya mikopo bila mafanikio,nadhani kuna technical problem kwenye server yao,nina log kwenye http://olas.heslb.go.tz/ lakini inatoa jibu kuwa 504...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimepata one ya 15 na nahitaj shule ya private ambayo ada yake ni nafuu kidogo na ina faulisha vizuri iwe ya mchanganyiko...msaada wenu please!
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Ndo 2shachoka sasa au ndo mabadiliko from analogy to digital ktk elimu au inakuwaje muda wote huu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mm nimemaliza nta 6 na nimesoma accounting na nataka nichukue degree ya economics in project nd planning ya mzumbe kama first choice or statistics ya udom or statistics ya eastc or agribusines ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna dogo langu amepata C 1 ya History na D 2 za Geography na Kiswahili... anaweza kuendelea na masomo gani? msaada tafadhali!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani mi naona bora kurudi kwa system ya zaman waondoe olas
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WADAU HABARI ZA UZIMA? Naomba mwenye website ya hivi vyuo vya st joseph anisaidie.:A S kiss:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti anajitetea kwa matokeo kuwa mabaya kwa kusema" Mh.spika si shule na serikali pekee zilizofanya vibaya hata za watu binafsi zimefanya vibaya sana" kwahiyo huyu Mdharaulika anataka kutuambia...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Kama mdau mkubwa wa elimu, naona mambo haya yataboresha elimu yetu 1. Vyumba vya madarasa vya kutosha 2. Madawati ya kutosha (tuna misitu mingi sana) 3. Maabara oa vifaa vya kutosha 4. Vitabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
THE GREATSECRETS OF DISABILITYDisability isnot a disease, it is just like human diversity, and it differentiates oneperson from the other. Furthermore, disability keeps an individual...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Back
Top Bottom