mwalimu ananyanyaswa sana,
unyayasaji wake hauko kwenye chochote zaidi ya dharau anayofanyiwa, kebehi anazopewa, haki yake inavyopokwa
binafsi kwa ufahamu wangu, ni kwamba mshahara wa mwalimu...
Dhahiri nianze kwa kuipongeza Serikali kwa mipango yake ya kuwasisitiza watumishi wajiendeleze kitaaluma. Pamoja na jitihada hizi , Serikali imejisahau kutambua kuwa mabadiliko haya yanapaswa...
Yah husika na kichwa cha habari hapo juu,hizi ni taarifa za uhakika kabisa kutoka jikoni makao makuu JKT,waweza ingia hii link ujionee mwenyeweJeshi la Kujenga Taifa
Je kuna yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili? Ukifanya marejeo kwenye hotuba ya Mnadhimu Mkuu wa MafunzoJKT kwa Mh. Rais siku ya ufunguzi wa Mafunzo ya Kijeshi, ukakamavu na uzalendo kwa...
Mimi nilimaliza kidato cha nne,tangu mwaka 2009,,nilipata divn 4.27,,,nimeangaika kupata fees kwaajili ya chuo,,lakin mpaka leo imeshindika,,nahitaji kusomea ualimu wa chekechea,,lakin,nimeshindwa...
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzanzia imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu...
ambao wanafanya mitihani ya bodi ya WAGAVI (PSPTB) ya matokeo ya NOVEMBER 2012 ndio yametoka kwa maelezo zaidi tembelea website yao
ucheki kwa wewe uliyefanya hiyo mitihani unaweza kumjulisha na...
Ukiwa sekondari ukasoma shule binafsi unaheshimika kuliko wanaosoma za kata lakini vyuoni ukusoma vyuo binafsi inaonekana wewe advance hukufaulu vyema wanaofaulu vyema wanaenda...
wakuu heshima zenu!
naombeni ushauri wenu. ndugu yangu kakwaa division four poinnt 18 akiwa na ESF ya PCB.
swali : je anaweza kusomea diploma ya udaktari? yeye mwenyewe anapenda kusomea muhimbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.