Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau eti Bwanjai ni mji wa kihistoria uliopo mkoa gani?.
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Samahani naomba kuuliza.Mimi nmemaliza diploma last year,nataka kua apply chuo direct bila kupitia T.C.U. Sasa kuna mtu kaniambia kuwa hiyo system haipo sa iv wote tuna apply kwa T.C.U. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Wanajamvi kumekuwepo na msemo kuwa miaka ya nyuma ndio kulikuwa na wanafunzi bora kielimu kuliko miaka ya sasa ambapo wengi wanadai wanafunzi ni vilaza,naomba tuweze kuifuta kauli hii kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Baada ya university promotion kuwa slow nakuja na fast unlimited internet kwa mwezi mzima itakayo kuwezesha kuangalia tutorial za u-tube na kuelewa new knowledge from abroad lecturers ,uta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana JF pengine kuna mtu mwenye taarifa kuhusu lini Result slip zitatoka hususani za Form 4. Kama utakuwa unafahamu tujuze Heshima Kwenu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
jamani mnao jua cut of point GS nayo inahesabiwa?plz naomba mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agro economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kusaidiwa eti kwa sisi 2lomaliza diploma mpk uwe na gpa ngapi ndio unaweza kujiung mzumbe cz mm nna 3.2 na nataka kujiung economics ya mzumbe bj diploma nimesoma f.a in accounting je...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Uchaguzi mkuu wa viongoz wa cuhasso bugando unatarajiwa kukamilshwa j2.wagombea wa kamb zote wanahaha kuweka mambo sawa.mchuano ni kati ya AGUSTINO MSONGE<MD2> na MUSA MDEDE<MD3> mpaka sasa MSONGE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa fedha kasema elimu ni kipaombele cha sita,je elimu ikiendelea kushauka ni nani wa kulaumiwa? Nashauri wananchi wailaumu serikali na si walimu. Poleni watanzania.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni munijuze wakubwa je kuna ukwel wwte kuhuxu hilo?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kweli wakuu nilianza kujisomea mwenyewe ili kufanya mtihani wa ACSEE kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana nimepata daraja la 3 points 13 yaani history D english D na kisw E siri kubwa ikiwa ni vitabu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Pamoja na sababu nyingine nyingi zilizochangia watoto wa kidato cha nne kuferi, hii ya miruzi mingi nathani ndio iliyompoteza MBWA! Miruzi hii imetokana na wizara ya ELIMU kutokua na sera ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa anayefahamu pls anijulishe ni nini passes za combination za arts please.Je, mwenye C,D,D. KWENYE HGL anaweza pata form 5 ya serikali ingawa ana Div 4 points 26?
0 Reactions
18 Replies
7K Views
elimu ya tanzania kwa mwaka huu imeshuka kupita kiasi na wanafunzi wamefeli sana japo kuna malekebisho walofanya.lakini masomo ya sayansi hasa phisikia watu wamefeli sana. Ipi sababu ya health...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:- 1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Back
Top Bottom