Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

serikali Kweli imeshindwa kufanya kazi kwa sababu mpaka sasa hawatoi selection au mnataka tena kuyafuta maana hawezekani mpaka sasa kimya
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu naomba kunijuza tafadhali.Nina matokeo ya GPA 2.6666667 katika matokeo yangu ya diploma ya ualimu.Je,ninaweza kuyatumia kuomba nafasi ya masomo shahada ya kwanza kupitia TCU?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NI shetani peke yake anaweza akamshangilia mtu anayefanya jambo baya la kuangamiza taifa pasipo kujali ilimradi apate faida ya kodi za wananchi.Ni mzazi wa mwanafunzi gani anataka mtoto wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukijaza vyuo vya private inaweza kua sababu ya kukosa mkopo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawatakia maandalizi mema all guys kwa mitiani yetu tutakayo ianza jumatatu,mungu atutangulie sote kama alvotutangulia wakati wa kusaka courseworks.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada wak0 kama ni mw3ny3 kufahamu jamb0 hili. Eti kwa mfan0 m2 anatafuta crdt 2 lakin baada ya kurudia mtihani akawa am3fanya vibaya yaan hata cht hapati J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukipita misungwi utawaona walimu wanahaha kutafuta mikopo ya dharura kwani hadi sasa hawajapewa chao za may 2013 ccm hoi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
je ni vigezo gani vinazingatiwa na HESLB kumpa mwanafunzi mkopo?
0 Reactions
1 Replies
755 Views
habari zenu wakuu, kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amepata D mbili ambazo ni D ya maths na ya kiswahili,sipendi kuona dogo anakahome nataka kutafutia kitu cha kufanya sasa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani wa mzumbe naomba msaada hasa wanaosoma busines school,dogo alisoma biashara o level alipata f math lakn advance kapata s ya baM ECA JE ANAWEZA KUOMBA BAF MZUMBE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CIVIL engineering VS ARCHITECTURE?????? »»®wadau zamu yenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman mi o level nimepata bok keepng A,comerce B,civic C ,geog c.lakn math f.advance NIMEPATA 2 YA 10.account C,commerc D,economix C,BAM S.JE NAWEZA OMBA BAF BUSINEC SECTOR MZUMBE,AU BAF ARDH UNV.?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kozi gani ya biashara itamfaa mtu aliesoma arts pure o level na hge a level na ipi asijaribu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zamani ilikua mtu unaapply chuo direct katika chuo husika kwa gharama ya Tshs. 20 elfu, hivyo ili mtu u-apply vyuo 4 ilikulazimu ukate hiyo 80 kama form fee ya kila chuo, thanks TCU mkaanzisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu, naomba mnisaidie ndugu yenu nimepata bahat ya kazi ila natakiwa nijue microsoft word na excel plz kwa mwenye kufaham any website ambayo naweza kujifunza au anifundishe tulipane,maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hvi ni kwa kila koz inayohusu education,inamlazmu mhtim apitie ualimu kwanza? naomba mnisaidie jaman.
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Hvi ni kwa kila koz inayohusu education,inamlazmu mhtim apitie ualimu kwanza? naomba mnisaidie jaman.
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Dodoma. Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia ameitaka Serikali isiishie kuivunja Kamati ya Ithibati ya Vifaa vya Elimu, (EMAC), na badala yake iende mbali zaidi kwa kuwachukulia hatuaza kisheria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenye gazeti la majira wameandika kwamba kuna shule ya Msingi huko bagamoyo ambayo ina madarasa matatu tu. na hiyo shule ina miaka kumi tangu ianzishwe. Kumbuka bagamoyo si mbali kutoka ikulu ya...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom