Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Motto: Read in the Name of Allah Hii kaulimbiu haijakaa sawa, wajaribu kutafuta maneno sahihi ya kiingereza
4 Reactions
92 Replies
6K Views
Baada ya siku chache kupita toka bunge la TANZANIA chini ya spika Mh.Tulia Ackson Mwansasu liagize vijana kupokelewa vyuoni na kuanza masomo huku mchakato wa mikopo yao ukiendelea, limeonekama...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA. International School of Tanganyika (IST) — Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia shilingi za...
7 Reactions
86 Replies
37K Views
Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nipo na Bwana mdogo mmoja mtoto wa mkulima amekata tamaa ya kuendelea na First year pale IFM sababu status yake inaonyesha hajawa verified na RITA akiingia RITA kila kitu kiko sawa. Nimemshauri...
2 Reactions
5 Replies
766 Views
Naombemi ufafanuzi nimsaidie huyu ndugu yangu ana wasiwasi kama atashindwa kusupua anaweza simamishwa mkopo kwa mwaka unaofata? Au ataendelea kama kawaida? Sent from my SM-A125F using...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hasa kwa wanafunzi wa shule ya kata ambao lugha ya kiingereza kwao ni changamoto. Ukifuatilia ufaulu wengi huwa ni mdogo hasa pale section d. walimu tupeni mbinu za kuchukua alama zote pale katika...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Rais wetu Mama Samia ametoa udhamini wa wanafunzi 600 katika elimu ya juu waliofanya vizuri masomo ya sayansi, sina hakika kama watanzania wengi wanalifahamu jambo hili jema kiasi hiki, maana...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kufanya academic research kwenye eneo hilo kihusiana na usalama uliyopo kwa sasa kwenye ishu za taarifa za wateja. Ni maeneo yepi naweza anza nayo...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Hawa Watu kiukweli Hawatasahaulika kwa mchango wao mkubwa sana kwetu hasa upande wa advance level iwe direct au indirectly Naomba nianze na wafuatao. PHYSICS √Mouddy physics (RIP)mzee wa tackle...
2 Reactions
7 Replies
492 Views
Discover this 90/10 Principle. It will change your life (or atleast the way you react to situations). --- WHAT IS THIS PRINCIPLE? 10% of life is made up of what happens to you... 90% of...
1 Reactions
1 Replies
775 Views
Habari,nina mwanangu mdogo nataka nimuanzishe shule(kindergatten) at Feza schools mwakani. Naomba kujulishwa ada zake, na pia ni day au boarding? Napambana kutafuta hela walau mwanangu afurahi...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Tunatambua Mara zote asili ya elimu yetu, tumejikuta mfumo umetuganda si chini ya miaka Hadi ishirini then unapewa Cheti Kama mwangaza au ufunguo wa sehemu kuomba kazi. Pia jamii Ina wataalam...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kila shule, zile za msingi na sekondari zina kaulimbiu zake maarufu kama ''school motto'' zilikuwa zinabeba ujumbe na kila mwanafunzi alikuwa lazima azijue. Hebu tukumbushane, taja school motto...
1 Reactions
186 Replies
24K Views
Naomba msaada wa hili swali, Why trading caravan carried red flag when they went interior of east in 19 century??
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana. Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Naomba kufahamu ada ya mechanical engineering, chuo cha NIT (NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT) Nimetafuta sana Google kwenye website yao sijaona wakuu.
0 Reactions
4 Replies
476 Views
Back
Top Bottom