Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wazazi wote wawili wamefariki .Mdogo wangu ameanza kufadhiliwa toka shule ya msingi .sasa nilikuwa na matumaini kuwa Bodi ya Mikopo itamlipia Ada ya chuo lakini bodi imempatia 743,500 kati ya...
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Kama ukipata bahati ya kuchaguliwa chuo kikuu cha uhasibu arusha (IAA).. Zingatia haya 1.kama umepata/hujapata mkopo lazima unapokuja uje na ada asilimia 60, lasivo hutafanyiwa usajili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji. Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi. Tulipo kumeundwa tume ambayo composition yake ni suala jingine. Cha kushangaza kutokea kwenye website ya matokeo ya LST cohort 33 kuna ukarabati mpya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima...
4 Reactions
149 Replies
7K Views
Nasikia NACTE wamezuia uhamisho wa kozi za afya kwa wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2022/2023 eti hadi uwe umesoma semester moja au mwaka kwa wanaoendelea tu. Eti tatizo au mantiki yao ni nini ya...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo X, natarajia kuingia mwaka wa pili karibuni, mwaka wa kwanza nilipewa mkopo wa ada kama 400,500, ile allocation ilikuwa inaonesha ni mwaka m1 wa masomo Je, kuna...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Habari naomba mnisaidie kimawazo Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake Ameomba UDOM-Amekosa MUHAS-AmekosA BUGANDO-Amekosa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Umuofia kwenu wadau wangu wa JF. Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu shule fulani Mpanda mkoani Katavi. Sasa nauli ya kufika huko kufuata result slip kwa sasa nimekwama, sina. Niko Moro...
0 Reactions
9 Replies
981 Views
Mambo vp jamani. Nahitaji no. au mawasiliano ya bodi ya mkopo (HESLB) kama naweza kuyapata au msaada wowote wa karibu kama naweza kuipata tafadhali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari marafiki, Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi fanya hichi kitu cha kurudisha mkopo bodi ya mikopo ili aweze kufanya maombi upya. Utaratibu wa kuurudisha mkopo upoje.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Je, bodi ya mikopo inatoa pesa ya kujikimu kwa mwanafunzi alie pewa mkopo na anasoma chuo kikuu huria yani(Open University of Tanzania)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heslb tunaomba ufafanuzi, kwann mmeondoa hela za field kwa sisi wanafunzi wa vyuoni..mnategema tutasurvive vp huko kwenye ofisi za watu embu kuweni na huruma kwa binadamu wenzenu basi hayo sio...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu... Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu: Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo: 1.Uhakiki...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zanguni hivi kwenye kujaza ile form ya HESLB kwenye applicants bank detail kama muombaji Hana bank account je anaweza kuweka hata ya mzazi wake maana bank wanataka NIDA number ambayo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana...
1 Reactions
5 Replies
894 Views
Back
Top Bottom