Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mdogo wangu kachaguliwa Bachelor of science in Information n Technology St. John, anaitaka pharmacy ana division 2.10 watamruhusu kuhama au nimpeleke diploma afya.
1 Reactions
4 Replies
572 Views
Coordinate ni ELIMU inayomuwezesha msomaji wake kuweza kugundua na kujua mahali vitu vilipo(location of position) hata Kama hajawahi kufika. Kwa mfano ukichukua karatasi nakukutanisha mistari...
2 Reactions
2 Replies
947 Views
Unawezaje kupata chuo nje ya nchi na niutaratibu gani unafatwa
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2022 comb HGL Nime confirm chuo TIA Mbeya kozi ya Bachelor of Marketing and Public Relations lakini naona napenda sana BaED kuliko hii kozi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university. Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba Pia nahitaji...
0 Reactions
4 Replies
677 Views
Wadau mwenye ushauri juu ya research Title ya hii kitu anisaidie Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi dirisha la kuhama kozi kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza lipo tayari au bado!? Na kama bado litakuwa wazi lini?
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Nilijirejista kuangalia AVN number yangu na ikafika kweny kipengele Cha kuangalia information zangu Kama ziko sawa nikajiridhisha kuwa zipo sawa nikabonyeza continue lakini mtandao nahisi ulikuwa...
0 Reactions
6 Replies
590 Views
Tunaeleweshana mambo yote yanayohusu Ulimwengu ambao upo mbali na upeo wa macho yetu kama nyota, sayari na makundi mbalimbali yanayopatikana huko Anga za mbali. #KARIBUNI...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu naomba kujuzwa shule nzuri zenye Ada za tozo kidogo kwa mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya specifically shule za Seminary haswaa wakatoliki. Kwa mwenye kujua hizo shule naomba msaada...
4 Reactions
37 Replies
15K Views
Habarini. Jamani nimefundishwa hesabu inaitwa Index of dispersion lakini kila nikitafuta kwaajili ya kujifunza zaidi kwenye oogle na YouTube sipati kitu kama kile na itabidi nifanyie mtihani...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma. Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha: Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
24 Reactions
247 Replies
12K Views
Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana? Na ajira zake zikoje upatikanaji wake. Au kwa upande kujiajiri
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani wakubwa naomba msaada wenu nime maliza kidato cha sita, ni ipi kati ya course hizi itanifaa na ninzuri? Naomba na ufafanuzi kidogo kuhusu course hizo. 1- Bachelor of science in applied...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello, nlikua nahitaji msaada! Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF Humu ndani! Naomba mnishauri nahitaj kuchaguwa kozi moja kati ya hizi Business Administration au Accountancy?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo Jifunze KIINGEREZA hapa...
0 Reactions
18 Replies
859 Views
Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Najua mtabisha lakini Ukweli utabaki Ukweli.Utaratibu wa kufundisha Kutunga Mitihani kufanya Mitihani kusahihisha Mitihani na kisha Zoezi hilo Huchunguzwa na kuhakikiwa na Bodi kama kuna Dosari na...
18 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom