Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nina vijana wangu mwezi ujao wanamaliza mtihani wao wa darasa la saba. wakimaliza tu mwezi wa 10 nataka waanze kusoma tuition mkoa wa Dsm kwenye masomo ya science ya form one ambayo ni...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile. Unaweza kutoa general au single subject!
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Labda sasa imefika wakati mitihani ya vyuo vikuuu isahihishwe na kitu kama NECTA, wasisahihishe walimu walewale kuondoka haya malalamiko ya Law School na vyuo vingine kula vichwa kama Engineering n.k
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Habari wanajamvi? Mimi niliapply UDSM na vyuo vingine tofauti katika round 3 na nikafanikiwa kuwa multiple selected. Katika chuo kikuu Dar es Salaam nilichaguliwa kozi ya BSc with Education na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Human Anatomy Human physiology Epidemiology and biostatistics Micro biology, parasitology and entomology
1 Reactions
9 Replies
556 Views
Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra...
2 Reactions
10 Replies
972 Views
Habari wadau Naomba kujua Tanzania kuna online courses zinazohusiana na mazingira na zinatolewa wapi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
1 Reactions
0 Replies
386 Views
Heshima kwenu wakuu...dogo langu aliapply chuo cha uhasibu Arusha njiro ngazi ya cheti kwenye IT...kwenye kuripoti ikaonekna chuo walisahau kuingiza jina lake wakati wanatuma majina tamiseni...
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Muhas has ranked number one in East and central Africa, 5 in Africa and top 500 worldwide. Congratulation MUHAS Source World University Rankings
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kujua kuhusu TUDARCO education system yake and performance coz naenda kusoma huko
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakifanya jitihada za kuhakikisha kwamba kila Taifa linalinda na kukuza utamaduni na maadili yake kwa lengo la kudumisha amani, mshikamano, umoja na maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Msaada wanajukwaa hili la elimu. Napenda kujua ni wapi kozi za IELTS *zinafanyikia *Ada *Muda kwa mnaojua kihusu hili naomba ufafanuzi wenu tafadhali nahitaji hili jambo nifanikiwe.
1 Reactions
5 Replies
611 Views
Hellow wanajamvi. Hoping mpo okay. Nme-note like miaka miwili ilyopta wazazi/ walezi wengi huwashauri watoto wajiunge na diploma courses after completing form four instead of joining form five...
5 Reactions
99 Replies
8K Views
Habari Wanajamvi..? Nimejaribu kuangalia mfano wa swali la Law school nimeona kuwa linaeleweka sana na kama nature ya maswali ndio kama haya sioni ugumu wa wanafunzi kulaumu kufeli LST. Nimeona...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Jamani walimu pamoja na wazoefu naomba ushairi kuhusu hi course jamani
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Si kweli , Maji hayajatawala sehemu yote ya dunia hapana bali tunatakiwa tuseme kuwa maji yametawala sehemu kubwa katika uso wa dunia yetu ambapo ni sawa na asilimia 71 huku 29 ikichukuliwa na...
1 Reactions
3 Replies
743 Views
Eti jamani tahasusi gani iko poa sana PCM, PGM au EGM
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom